Siwezi pita video yako Bro unatemaga madini noma 🫡🫡
2026-09-30 15:14:22
30
tinayolum05 :
Mimi sijapewa muda siwez kukuheshim
2026-09-30 20:40:23
10
Celine ♑️🥰 :
I wish mwenza wang akingekua ana sikiliza maneno yako
2026-10-01 05:38:21
13
BKB Official Jr :
exactly 💯 bro🤝
2026-09-30 13:35:26
7
first_rosemarrie_store :
me mtu akinisikiliza basi haijalishi naongea nini
2026-09-30 13:09:41
8
ALMASI jr :
fact💯
2026-09-30 13:34:39
7
suzymanka01 :
Yani we kaka ,umetujuaje lakini🗝️
2026-10-03 12:04:12
2
Jayv27 :
Huyu jamaaa nimemuelewa
2026-09-30 12:03:38
9
Liphongo :
Ukweli mchungu
2026-09-30 14:05:15
5
Omr BLM :
kweli kabisa
2026-09-30 11:23:01
5
brand mc :
😁😁😁😁we kweli kiboko Mzee baba unatisha sana aisee Kuna mda naonaga kama ww ndo Mwenye uwelewa peke ako mana ulivyooiyongelea hii video daaa umetisha sana Mzee
2026-09-30 14:05:59
10
Esther Raymond Ihucha :
Hii yenyewe hiii...Sahihi always🥰
2026-09-30 13:24:01
9
MTU_FLANI_SERIKALI_KALI :
amini dingi umetisha
2026-10-02 17:31:59
2
miss linah :
nimekufollow ☺️
2026-10-01 18:32:51
2
James' :
ni kweli kabisa
2026-10-02 07:59:10
2
Official_novatus23 :
kuna kitabu piaah kinaitwa How to be a 3% percent man, unavyoviongea vyote mwandishi kaviandika, Big up✊️
2026-10-01 07:12:18
4
🙏...Call Me Alpha...🐺🌀 :
bro nimekuelew sana
2026-09-30 20:01:52
4
Jofrey_Florence333 :
nilijiwa tu ipo siku ntapata kitu cha faida kutoka kwako ubarikiwe
2026-10-01 06:56:58
3
Wakanda. :
[Heartwarming]Asante.
2026-09-30 11:04:41
4
Mage Temu :
💯💯💯📌📌
2026-10-01 07:44:37
2
Billy Tz :
kitabu cha mahusiano lini unaandika mkuu?
2026-09-30 21:36:22
1
niko_ooo1 :
asante sana
2026-10-01 18:19:14
2
Lato Savege :
vitabu na pataje
2026-10-01 15:22:08
2
To see more videos from user @sindano_show, please go to the Tikwm
homepage.