@fundi_dsm: Tips 7 hizi kuhusu blender kutoka kwa @fundi_dsm itakuokolea pesa nyingi kama unatumia #blender kutengeneza juisi, soma hadi mwisho ... 1. Kama jagi linavujisha, maji yataingia kwenye motor 2. Usijaze full hadi juu unaposaga 3. Usiwashe muda mrefu bila kupumzisha 4. Usisage matunda yaliyoganda au chakula cha moto 5. Hakikisha jug limekaa vizuri 6. Hakikisha unasafisha jagi kwa chini na kukausha ukishamaliza kuosha, na 7. kuweka mafuta ya cherahani mara moja kwa mwezi .. Utakosaje juisi msimu hii ya matunda?? 🍉🍇🍌🍍🥭 .. Kama jagi lako la heavyduty linavujisha, linapiga kelele au inatoa gololi, njoo tukurekebishie, tukufungie spare mpya kama hio: .. Kwa majagi ya lita 2 tuna quality 3 : kuna kisu cha elf 25 ,elf 45 na elf 55 .. Kwa lita 4 elf 75 .. Meno za motor nyeusi mpya elf 15 .. Simu 0684-017-700, karibu sana .. Bombaywalla's Appliance Repair & Service Google map/bolt/uber 👆 .. kama unakuja na mwendokasi. tupo kituo cha mwendokasi cha kisutu,mtaa wa zaramo, opp na choo cha kulipia cha city, au posta ya libya, au furniture centre[libya branch],simu 0684-017-700 karibu sana

fundi_dsm
fundi_dsm
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 08:38:00 GMT
723
13
0
4

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @fundi_dsm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About