@islamicswahilinet: RAFIKI ASIYEKUHIMIZA KUTENDA MEMA SI RAFIKI WA KWELI Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 08:44:45 GMT
Music
Download
Comments
Abuu Aisha assalafy :
jazakallahu fik ❣️
2026-09-30 14:46:57
2
Abduly salumu :
wewe umetumwa na malaika wema ujeutukumbushe wema...
2026-09-30 09:19:39
8
asfahlee :
shekh allah akulipe kher
2026-09-30 12:43:55
2
Abdijabir Abdullahi :
Manshaallh
2026-09-30 08:56:34
2
TARIKI ALUMINIUM :
shekhe mungu amjaalie pepo ya jannatufirdaus
2026-09-30 16:30:42
1
TARIKI ALUMINIUM :
mashallah mashallah mashallah
2026-09-30 16:29:54
0
Mr_maheer Al busaidy :
Wallah kwa hakik huyu doctor ana kitu ndani yake
2026-09-30 11:21:49
2
Banka Boy :
🥰🥰🥰🤝
2026-09-30 08:53:20
0
WAGA WAGA :
😍😍😍😍😍😍😍💯💯💯💯💯💯
2026-09-30 09:37:27
1
piscas.kisonia :
🥰🥰🥰
2026-09-30 08:59:59
1
SALIM KHAN AMIR AMIR SHABAN :
🥰🥰🥰
2026-09-30 09:38:04
1
yasmine :
🥰🥰🥰
2026-09-30 08:49:52
1
mahmud jirma huka :
❤️❤️❤️
2026-09-30 17:19:11
0
ummu suheyla :
❤️❤️❤️
2026-09-30 18:29:15
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.