hakuna picha ya mtume na wakati wa mtume ilikuwa hakuna camera wakati huo sasa hivi utaipata wapi hiyo picha?
2026-09-30 16:43:28
12
mohammed suleiman :
[Pray][Pray][Pray][Pray]Samia
2026-10-28 17:49:01
0
Peteri :
mzee wangu samahani kwa kuingia mada naomba ukanunue hiyo switch ibadilishe ni hatali kwa afya yako
2026-09-30 13:35:44
11
Eve :
Subiri kuitwa Aposto maana hawachelew
2026-09-30 09:19:07
15
WAPOLITO 2026 :
lazima uchague kwa sababu mtu Muhammad (s.a.w) hakukuwa na technology yeyote kho huwezi kumuona mtume
lkn yesu mtamuona na picha yk, SS sjui kulikuwa na camera
2026-10-03 13:30:41
1
خيمان :
inategemea anaekuuliza ni nani? mtu wa kawaida au malaika?
2026-09-30 12:54:23
0
Day :
we jamaa una kitu, huu ni uamsho.
2026-10-25 16:37:46
3
Ibrahim Juma :
who he knows not and knows not that not is the great full
2026-10-22 13:52:08
0
SHAKSIA :
Uko sahihi kwa sababu samia una uhakika nayo na hiyo ya mtume utakuwa hauna uhakika nayo kwa sababu haumjui upo aahihi kabisa bwana 🙏
2026-09-30 09:21:06
9
TRIPLE S :
mie mkiristu lkn namchagua mtume mohamed
2026-10-22 01:36:25
0
Buraq :
Kabla hujamalia swali mmi nilishachagua picha ya Samia
2026-10-09 04:02:35
0
Sisu MUNGU kwanz :
kristo mokoz wamaish yetu din yakwel katik kwel
2026-10-19 16:01:52
5
salim :
hapo mm nitachagua picha ya samia mana picha ya mtume haipo itakayokuwepo itakuwa ni ya uongo
2026-09-30 10:43:59
0
0759174141 :
uko vizuri broo songa mbele
2026-10-04 03:22:25
1
Machano Abuu :
apa nimekuelewa mana mtume picha yake haipo eti
2026-10-02 12:22:12
3
Chenja :
UK sawa bro
2026-09-30 16:22:29
1
NDENGWA PC :
Nipo upande wako maana picha za mitume hakuna
2026-09-30 10:17:08
3
youngman :
hakuna picha ya Mtume wala hakuna alioiona.Waislamu hawafati picha ya Mtume wanafata mafunzo yake.
na tafadhali usitukane watu.
ukianza tukana usine vibaya kutukanwa.
2026-09-30 10:22:22
5
abdkhalm :
ni kweli kabisa
2026-10-04 12:59:04
1
@a.jo :
Assalaam Alaikum Bwana Yesu asifiwe
2026-09-30 15:11:51
2
MAGDALENA... :
nakupenda sana jinsi unavyokuwa mkweli na jasiri kuusema ukweli Mungu yupo hapo na Anakulinda
2026-10-27 06:16:59
3
mashaka :
wote sichagui
2026-10-01 00:39:17
2
POSITIVE VIBES :
Alindwe huyu mzee ana kitu .
2026-09-30 12:53:41
2
Mazengo JR 💀 :
Tumsifu Yesu Kristo .takbiri
2026-09-30 19:35:19
2
To see more videos from user @hassanjah7, please go to the Tikwm
homepage.