yes ni kumpwekesha ALLAH
na zipo 3
Tauhid
1 Uluhia
2 Ulubia
3 Asmau wa suhifat
2026-10-04 02:00:29
5
Hawa Makora :
tufundishe shekhe
2026-10-03 16:43:17
2
ukhty salmah :
Tauhidi ni kumpwekesha allah s.w na kufata yale aliyoamrisha na kukatazika na yale aliyoyakataza
na zipo Tauhidi 3
1.uluhia
2.ulubia
3.asmaa wasifati
wabillah tawfiqh
2026-10-04 06:19:29
1
(Al-vinbaby@ :
tawhid ni kumpwekesha mwenyezi mungu kwa kila sifa zake zote alizoziumba na kumtaja yeye na kutomshirikisha
2026-10-03 11:52:37
16
Ram saalem :
jamani SI kama wanakuwa hawajui ila lugha huwenda ikawa asbabu ila sidhani kama ni lugha aijuayo akashindwa kukujibu
2026-10-03 21:20:25
3
Grand Wick 🇦🇪 :
tawhid ni kumpwekesha mwenyezi mungu kwa ibada[Red heart]
2026-10-03 19:46:50
1
🇦🇪🇦🇪🇧🇷znz :
kupwekeshaa ni nn
2026-10-04 06:02:23
0
MJA WA ALLAH :
Ndio hatujui ifundishe tauhidi rububiya uluhiya asmai waswifati usiishie hapo tufundishe plz
2026-10-03 10:08:31
0
hafsaakitosi :
mashaallah
2026-10-04 05:08:46
0
Mura :
Allah
2026-10-04 03:55:59
0
pato :
ataoheed will ibada allah bin ibada
2026-10-03 20:30:16
0
nanou :
Atawhidi ifrad allah
2026-10-03 18:46:56
0
MAJID MOH'D :
kilugha na kisheria
2026-10-03 20:57:36
0
user3877437921413 :
tauhidi ni kumpwekesha mmungu
2026-10-03 14:28:07
0
Mkunjufu :
Tena hasa hasa Watu wa Maulid ndio hawawezi kukujibu kuhusu Tawhid
2026-10-03 17:38:45
0
Abdallah malki Omar :
🥰🥰🥰
2026-10-03 16:30:43
0
LINDA MGONGO😂 :
💯💯💯
2026-10-04 05:55:46
0
To see more videos from user @africatv.2, please go to the Tikwm
homepage.