@islamicswahilinet: HUKMU YA KUSOMA QURAAN MAKABULINI Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 10:28:25 GMT
Music
Download
Comments
Abuswaleh15 :
kama imo katika vitabu vya elimu twataka dalili Gani zengine
2026-09-30 13:59:46
2
ibn juma :
mwamba , dr islam allah akupe umrii
2026-09-30 19:19:31
5
mansourel_jabr8 :
Fundi alaf hodari al sheikh Islam 💯🥰
2026-09-30 20:14:00
7
@Abuu Azhar Abdulkarim :
allah amuhifdh sheikh ,
nampenda kwa ajili ya Allah
2026-09-30 11:56:39
2
Ibn Hussein :
Huyu shekh Allah amuhifadh anajua kuelezea mambo kwa hikma na maarifa makubwa hata kama mtu alikua anafanya anaacha. Hii ndio namna da'awat Salafiyya inavofikishwa
2026-10-05 11:40:31
3
MUTAELEWATU :
tutasoma kila siku
2026-10-11 23:38:06
0
Muhammad Jumah :
wallah mimi nampenda sana huyu shekh allah amuhifadh maana ana tumia hekma sana.na hivi ndivyo usalafi watakiwa.
2026-10-09 07:38:26
0
Abal Ajami :
bado anatetea upande wake tu, kma ikiwa kuna walio dhoofisha wapo walo swahihisha
2026-10-14 05:25:56
0
malenga mzito :
Dr Islam Mohammed Salim💯💯
2026-10-23 19:00:03
0
suleyman :
Mungu akupe Iman sheh
2026-09-30 14:00:41
1
Isiaka Omari :
Dr anawekwa sawa na Dr mwenziwe sasa tunasubr Dr Mubarak Ahmed aweis aje hajibu ili inshallah
2026-10-01 04:02:48
0
IssaJr :
mm nilijua watu wamejitungia kumbe yapo vitabuni kauli hiuo inadondoka kwako sio kwa wanazuoni, kudai haina nguvu kwa utashi wako sio wanazuoni walivyoona na kupekua
2026-09-30 21:42:14
1
idrissa saimon :
huku sasa vijijini haya mambo ni kawaida ukijaribu kuwaambia hii sio dini utachikiwa mno
2026-10-01 12:26:07
0
cheupe Watanga.wwwwwweeee :
🥰🥰🥰
2026-09-30 11:01:41
1
Ẁìźźỳ ĺáý :
❤️❤️❤️
2026-09-30 10:35:29
1
da kabe :
🥰🥰🥰
2026-09-30 11:31:06
1
Majaliwa Majaliwa :
🥰🥰🥰
2026-10-06 05:01:10
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.