@lovedisaster1: Huyu ndo mwanamke 📌

LD
LD
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 10:29:02 GMT
54711
2871
120
378

Music

Download

Comments

teefanny29
Tee🫂🤍 :
inshort sisii ni watu wabaya msituchokonoee😅😅😅😅
2026-09-30 14:20:49
58
kimdada24
Mzee wa siku :
Kaka ni kama unaelezea maisha yangu
2026-09-30 15:36:27
24
jayphar4036
hearean✨baby💝 :
jamani mwanaume alikuwa ananidharau yule matusi ndio matusi nilimvumilia takribani kama mwaka mara ananuna nilivumilia wee lakini iyo siku kosa dogo tu yeye mwenyewe hakuamini nilikuta kwenye wellpaaper yake kuna picha ya mdada hapo hapo moyo tu wenyewe ukagoma paa toka siku hiyo hajawahi kuniona mpaka leo hadi analiaga anabembeleza turudiane lakini wapi siwezi moyo ushagoma siwezi yaani moyo kigoma umegoma
2026-09-30 18:34:06
12
happy.molel6
pretty 💞🦋 :
mimi kuna kaka nampenda tumedumu kwa miaka 3lakini hiyo miaka yote nilikuwa namvumilia mengi naweza kumtumia msg anachelewa kujibu nampiga anaongea na mimi uku anajifanya anasinzia juzi kaniomba tuonane nikawa nimechelewa kujiandaa akakasirika sana nikamuomba msamaha akasema me nina dharau nikamuomba samahani akanisamehe kaniomba tuonane kwa mara nyingine tukaonana kwa kuchelewa. ninaomba samahani sasa kuna kitu alikuwa anataka me nikamuambiya sijisikii kutokana na hali nilio kuwa nayo akaniambiya sawa anafika kanitumia msg tuachane kwanzia leo mimi na wewe bas me nikamuambiya me nimekuvumilia mangapi lakini wewe kosa dogo tu ndio unataka tuachane hakujibu na mimi si kumtafuta tena niliamua tu nikae kimy
2026-10-01 07:18:14
9
cytherea780
cytherea🌸🤍 :
shida huwa wanatuona kama mazezeta wanasubiri mpka tutumie akili badala ya hisia uzur ni kwamba tukichoka tumechoka mazima
2026-09-30 18:42:21
8
quetnana
quet naah ❤️❤️🦋🦋🦋 :
me Kuna huyuu namngoja anikopee na hati yke ya kiwanja nimteme nimemvumila 10 years
2026-10-02 06:09:30
0
secilia.7
sicy.cute :
unahakili kubwa
2026-09-30 12:49:53
5
maggiemat8
maggiemat@ :
Ndio hivyoohivyooo yaaani huwa hawaelewiiii
2026-09-30 14:03:22
3
merrynoah966
Mary Noah :
kaka usiwaambie
2026-09-30 15:52:20
3
phinaosy
phinaosy :
nani ampelekee hii mmewangu 😁
2026-10-01 10:52:07
1
affiliatewave5
Dee❤️ :
leo nmeamka ndo napaki vtu vyangu am done guys finally.
2026-10-01 05:34:52
1
mrsomary35
Ree 💖💫 :
fact
2026-09-30 13:50:00
1
elizabeth.julias1
Elizabeth Julias :
kwer kaka angu🙏🙏
2026-09-30 12:27:05
1
user6250283990075
user6250283990075 :
nikweli
2026-09-30 15:52:41
1
lilianstore98
Lilianstore98 :
kabisa ani
2026-09-30 11:53:58
1
ricnacy
nana :
aaah
2026-09-30 11:50:52
1
secilia.7
sicy.cute :
kwakwer
2026-09-30 12:48:22
1
user6762107196922
[email protected] :
kaka una akili sana
2026-09-30 12:12:42
1
marynyambura7615
Mary Nyambura :
kabisa ❤️
2026-09-30 13:52:49
1
user9266633709677
user9266633709677tifa :
kabisa
2026-10-01 21:38:51
0
sheymchaga65
lastborn🥰🥰🥰 :
kabsaa
2026-10-02 11:58:14
0
samira29878
samira :
nimechoka kusameh Mimi nimechoka sana
2026-10-02 04:42:59
0
agatha.gs950
Agatha Gs Business :
Huyu ni mm
2026-10-02 11:23:01
0
irenekambi0
alisha :
👏
2026-09-30 10:35:07
0
To see more videos from user @lovedisaster1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About