@neoagriculturemachinery: RICE TRANSPLANTER MACHINE Hii ni machine ya kupanda miche ya mpunga Inatumia petrol Inapanda miche kwa mstari Inapanda mistari 6 kwa wakati mmoja bei 5500000 mawasiliano 0693761024 #rice#flp#machines#machinery

Neo Agriculture Machinery
Neo Agriculture Machinery
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 10:39:12 GMT
631543
12288
207
771

Music

Download

Comments

fedrickdaudfamily
Fredy :
Hamna kitu hapo mbegu 10 shina moja 😂
2026-10-01 10:01:12
120
lizy.cute3
lizy cute :
hiyo itatutia hasara labda wapandie wa kishua😁😁😁
2026-10-31 07:29:56
0
johnnyshiganza
Johnny Shiganza :
mbegu kumi kumi halafu distance unaacha kubwa mno
2026-10-01 07:59:38
31
kingludamira
King Ludamira  :
Sas hapo siheka moja unavuna junia 6 kwa umbali huo
2026-10-01 09:54:14
17
fatuma.hemedifatu
fatuma hemediFatuma Hemedi :
tegeta ndo mashambani
2026-09-30 15:05:13
7
mwambusye_himself
Mwambusye him self :
Unapatikana Tegeta nije niichukue then niende nayo shamba moro au mbeya kama inashida niirudishe tegeta???🤔🤔🤔
2026-10-01 10:54:59
10
meshackvence
Meshack Venance :
Machine yenyewe inapanda mbegu kumi kumi[Tears of joy]
2026-10-01 06:36:22
8
ihanda.finest
RAIS WA IHANDA💦💦💦💦💧 :
mnatak tuajiliwe wap jmn
2026-10-01 09:48:20
9
chicharitosanga
Chicharito Sanga 🇹🇿 :
Aaah hii inabid uwe na mbegu zakutoka inalundika tu 😅😅
2026-10-01 06:26:56
8
officialrose059
🦋Rosiee💫🥰 :
kwenye hizo nafasi iyo miche inatambaa au vip
2026-10-03 09:24:10
1
bugalama.pingi
Bugalama Pingi :
Naomba namba
2026-10-01 08:54:36
2
chrisipinusi.mari
Chrisipinusi Marichadesi :
naipataje ss nataka nipo mwanza
2026-10-01 08:11:56
2
user4265312935694
user4265312935694 :
kutoa tegeta hadi usangu bei gan
2026-10-01 09:04:04
1
jwtz92kj
JAMES :
hii nzuri ikiwa kwenye matangazo
2026-10-01 10:26:16
5
ustadhwatanzania
USTADHI WA TANZANIA :
nitumiwe
2026-10-01 07:59:28
3
user5399967569567
Monica Suzi :
hatua kubwa mno weeeeee siwez
2026-10-02 12:53:44
2
user7547322740690
lizzy💕 :
harafu hiyo nafasi inayobaki naweka nini😳😳
2026-10-03 07:35:08
2
mwanah988
Mwanah 🌺🔒 :
kwa upandaji huo faida utarudi kweli nafasi inaacha kubwa Ivo 😳
2026-10-01 10:36:45
2
happynesmasau
Happy :
Inaacha nafasi kubwa mno
2026-10-04 16:52:21
4
usermisiubaluku
miss ubaluku :
mbona inapiga bata
2026-10-01 09:17:04
2
mama.wawili1431
mama wawili :
inachota mbegu mno sana
2026-10-01 07:39:01
2
dmnyama.0
D.MNYAMA :
Naweza itaka hii😂🇹🇿😂
2026-10-01 11:11:57
1
sheni0014
Sheni🥰🥰 :
Hii isifike ubaruku 😂😂
2026-10-03 05:33:32
1
po._ssibiliser.tz
possibiliser.tz🇹🇿 :
apo hiyo mashine inahamisha kitalu kutoka walipo weka mpaka hapo isipokuwa ni mistari tu
2026-10-10 12:25:26
1
realgerald2
Gerald jr 💦 :
uharibifu wa mbegu tu
2026-10-01 10:46:24
1
To see more videos from user @neoagriculturemachinery, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About