[Laugh approved]hii concert kila mtu ni regular[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-03 09:42:49
1
theePOKOT :
First time kuskia ngoma ya Newcastle United 😂😂
2026-10-01 15:20:03
4
Mike 🇰🇪 :
Hapa hauna stress za bills, na unakula kila siku.
2026-09-30 13:26:17
413
Flexx 🇰🇪 :
Freshers Night 🔥🔥🔥
2026-10-01 10:59:15
261
felony :
wafungwa wako freshers night na first years
2026-10-01 14:17:18
0
Felix omondi :
hi band ku join ni shi ngapi?
2026-09-30 19:41:26
87
Kinara As1 :
anakulanga nn.
2026-09-30 16:06:26
107
🌸ɓĕņŧęř♥️ :
where did you guys got the Newcastle jersey?🥰😂😂
2026-10-01 06:10:40
50
K'OUMA :
sijui nifanye nini nikuje huko 😂. naona hamna stress huko😁
2026-10-01 13:41:54
35
Mick wine Uganda :
aki that place is for strong people with strong heart not easy as you think, I was there for 10yrs but I thank God I'm now free
2026-09-30 17:10:15
42
AskenusBettOfficial🇺🇲🇸🇸 :
This place looks familiar
2026-10-02 08:59:53
2
@🍓GIRLFRIEND WA ARSENAL💍📌🦋 :
we all hate sex right
2026-09-30 20:44:45
19
maria Auma :
huku ni kuforcuse kama ni time ya enjoyment ni kuenjoy tuuh kama ni time ya kulima ni kulima kama ni time ya viboko ni hivoo😂😂😂😂
2026-09-30 13:29:40
77
Kevin Shime :
the place I would never like to go back again 😭
2026-10-02 14:12:16
3
barkane :
freedom is very expensive. Mungu kumbuka hawa
2026-09-30 17:37:08
30
Felix Mesh🇰🇪💕 :
Nilijifunza kwamba maisha ni tofauti sana siku nilipomwona mgonjwa akipona, lakini daktari wake akafariki. 😔
Nilijua thamani ya maisha ni kubwa siku nilipomwona kipofu akimuomba Mungu ampe maisha marefu, licha ya yeye kutoweza kuona. 😔💔
Hapo ndipo nilielewa kwamba mara nyingi tunalalamika kuhusu kile tunachokosa, bila kutambua kwamba kuna mtu mwingine anaomba Mungu kwa ajili ya kile ambacho sisi tayari tunacho.
Usidharau maisha yako. Mshukuru Mungu kwa kila siku, kwa afya, kwa pumzi na kwa nafasi ya kuishi. 🤲🏽❤️
2026-10-01 09:11:30
21
amofux :
kubwa jezi ya Newcastle shingapi😂😂
2026-09-30 16:53:40
5
Samidoh :
nimepitia hiyo maisha nawaombea mungu hawafungulie njia aki wengine ni innocent
2026-09-30 13:24:10
13
Ras maraondi :
heshimu hesabu Na maombi
2026-09-30 15:45:24
9
Ogina :
Hapa bora ukuwe na jersey ya Newcastle uko sawa
2026-09-30 15:45:31
14
Simon Dariso :
if you're free say alhamdhulilahi
2026-09-30 16:33:09
10
DØRËÊÑ🩷 TÆLBÄÑ💜 :
my ex n ule ame vaa Rebox za white 🤍😅
2026-09-30 13:39:38
11
Eugene 224 A.k.a :
kumbe prisons kuna raha
2026-09-30 11:55:44
16
jossy :
walahe huku ni kuzuri aje😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-30 12:08:31
9
Charles Charlie chatia :
Kumbe hii block iliisha.. Nilikuwa napenda kukaa kwa huo msingi nikifikiria home.. Yes am free man.. Salamia waingo
2026-09-30 13:51:03
5
To see more videos from user @tanzania_yangu0, please go to the Tikwm
homepage.