@knews24.media: #knews24updates #SautiyajamiiChanzochaUkweli

knews24 media
knews24 media
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 11:13:29 GMT
31341
1123
75
53

Music

Download

Comments

tembo255try
Tembo :
Mwanetu dhahabu unauzaje na usafiri wa bus Au siyo dhahabu hizi tunazojua sisi
2026-09-30 14:12:52
20
prs2586
PRS 🇨🇳🇹🇿 :
Sa siungepanda ndege 😂😂
2026-09-30 19:20:23
4
kasiga63
kasiga :
inasikitisha kuona watu wanaamin kuwa mfanyabiashara wa dhahabu wote wana hela hawajui kuna wafanyabiashara wa dhahabu wana mitaji ya 10M
2026-09-30 18:10:59
7
.timfordjj
Timford Jj 💠 :
Bei imepanda kutoka Jana 355k leo 357k hasara umeipata kweny nn mwanetu 😅
2026-09-30 18:17:09
12
dully_cobra
POTUS :
jamaa ni mchezaji mzuri pia
2026-10-01 01:10:02
3
sapathegreat1
jay shetelah⚡ :
ilaa sifa
2026-09-30 20:41:41
3
mesia939
Mercy💕 :
Jaman sio kila wa uza dhahabu wanamitaji mikubwa ndo maan kun bloker huko wanakaa wachimbaji wadogo wanamitaji milion kumi mpk Mia hiv kwahiyo sio wote wanamagari
2026-09-30 18:58:34
3
ezekiel.set
Ezekiel Set :
ndege ukuiona
2026-09-30 21:14:13
1
kazimili.masunga6
Kazimili Masunga :
ila mfanya biashala za madina bhana
2026-10-01 05:50:19
0
peterkibuga
Jr05 :
mfanya biashara wa dhahabu huna gari la kutembelea hii ni maajabu aise
2026-09-30 12:42:49
11
mamaikram56
mamaikram56 :
Muuza dhahabu gani hana hela ya ndege au private car 🚗
2026-09-30 17:23:05
5
bagabriellamlt
👑 KiBELLa oG :
MUUZA DHAHABU KUWA MPOLE
2026-09-30 11:40:40
5
aaronitz7
Aaron :
au wewe unauza maji ya dhahabu mwanetu 😂😂
2026-09-30 13:02:01
6
jumajr200
masasi jr :
madini na bus 😅😅😅😅 mm gram 10 tu nakula mwewee
2026-09-30 19:26:59
4
user6709581724h
user6709581724h :
Hyo muuza shanga za dhahabu
2026-09-30 17:44:55
4
salum_mushi
BWASHEE FRESH BAKERY 🍞 🍰 :
anasifa huyu akiona madem😂
2026-09-30 20:07:46
3
hussen.hassan60
Hussen Hassan :
mfanya naishara ndege kupanda uwez🤣
2026-09-30 18:45:21
2
simba_aluminium
simba_aluminium :
Muuza zahabu anapenda bus🤣
2026-09-30 19:34:31
2
kangaboy5
Kangaboy :
Labda Hereni Zile Zenye Rangi Ya Dhahabu.😂
2026-09-30 18:11:18
2
davidcharleswatheo
David Charles Wa The :
😂😂muuza madini Ndege huzioni
2026-09-30 14:11:21
4
selanyik
SELANYIKA :
wewe n matching wa madini siyo mfanyabiashara bhn🥺
2026-09-30 17:42:55
2
desmonsichalwegmail.com
mtoto wa edesia :
kwani kaka uko umeenda kusajili Mali [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-01 06:21:37
0
nelson.neslson8
Jackson smartboy :
mfanyabiashara unapanda gar kwel
2026-10-01 05:08:08
1
wataifa1
group O+ :
huna gari?
2026-10-01 08:04:40
0
d.vibes84
D vibes🔥🔥🔥🔥 :
tafuta hela matajiri wanatumia usafir wao hawakwami kisa usafiri😂
2026-10-01 06:43:39
0
To see more videos from user @knews24.media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About