@somahosea46: #fyp #spiritualawakening

Hosea 4:6
Hosea 4:6
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 11:19:03 GMT
31275
2143
335
48

Music

Download

Comments

mankilo430
Mankilo :
Mungu yupo ila sio wa biblia
2026-09-30 15:58:01
24
moustaphiddy
Moustaph Iddy :
Ndio Ukiangalia Ile movie ya DEVIL KINGDOM kipindi Ramsey Noah ana mshawishi Kanumba kuwa muabudu shetani alianza kwa kumshawishi kwa elimu Fulani kwamba Mungu hayupo na kama Yupo ni mzaifu na akasema huo ndio msimamo wa waabudu Shetani naleo ndo elimu hiyo inafanyiwa promo mitandao eti inaitwa awakening Bro watu wanapoteaa bila kujijuaa🤔
2026-09-30 13:17:51
35
sumarider872
sumarider872 :
una fact bro..
2026-10-02 09:07:02
0
jackybost001
jacky :
this is good
2026-10-01 18:29:33
0
ladyney20
. :
umenena vyema ! una akili sana🔥
2026-09-30 12:15:38
13
lupherlubert
alpherulikaye :
Hiz ni nyakati za mwisho, roho zidanganyazo zina fanya kazi kwa speed kali.
2026-09-30 18:30:30
7
chady268
CHADY BOY HP :
alafu mungu ametupa akili sio kitabu
2026-09-30 15:34:06
5
jjaccoobb
jjaccoobb :
Word bro
2026-09-30 14:28:07
1
katashingo369
KATA SHINGO :
otherwise content safi i love such conversations Afrika itaamka
2026-09-30 19:14:47
2
devine31819
Devine :
Mm nimeona maskio ya jamaa ndio yameniacha hoii[Tears of joy]
2026-09-30 16:59:56
11
sajofine
SJ MODERN HOMES :
Kaka umegunduwa kitu kikubwa sana mimi nilifuatilia sana hiyo elimu ya spirutual awakening ikafikia hatua nikaambiwa Yesu ni mimi na Mungu ni mimi hivyo nisiombe kwa jina la Yesu wala hakuna Yesu atakaekuja kuniokoa ... mhhhh nikangundua kuwa mpinga kristo amevaa sura nyingi sana
2026-10-02 16:44:01
2
skyjohn70
Sky John70 :
perfect
2026-10-03 09:34:00
0
dannymjeshi0
Danny mjeshi :
niukweli brother
2026-09-30 17:46:40
1
chali_yangu
𝘕𝘺𝘰𝘬𝘢_𝘕𝘪𝘤𝘬𝘴𝘰𝘯🐍🐲 :
Brother, ukiskia mtu akipingana na Dini Zenu izo haimaanishi qwamba anapingana na mungu sababu mungu Hana Dini kaka
2026-10-01 03:33:34
2
jimmy.kassa
Jimmy Kassa :
No spiritual awakening unamtambua mungu kwa undani zaidi na awakening huwa inakuja baada ya kufika umri flani ni sawa na manabii huwezi kuta nabii aliyeanza kazi ya mungu akiwa mtoto wengi wao walianzia miaka 40 kuendelea, spiritual awakening ilikuwepo tangu zamani tofauti ni lugha ya elimu ndio inabadilika kila baada ya generation…Spiritual awakening lazima iendelee kuwepo sababu hata huko Makanisani na Misikitini ndio unakuta baadhi ya watu wamejificha huko ili kuwafanyia distraction watu wenye roho za mungu(empathy)…Bro mungu na shetani una watambua kupitia mwanadamu mwenzako kutokana na matendo yao sasa basi the more watu wanavyoamka na kumjua mungu kwa undani wao na ndio shetani anaongeza nguvu na wafuasi utafika muda mwanadamu atamtambua shetani baada ya kumsalimia tu, na watu wa mungu wata tambuana kwa nyuso zao sasa hapo ndio vita vitashamiri mpaka atakapo kuja Antichrist kusaidia watu wake vita itaendelea mpaka tena atakapo kuja yesu mwenyewe kumaliza hiyo vita.
2026-09-30 23:37:14
1
abigailhezron
Abigail Hezron :
daah broo umesema kweri na nimekuelewa ubarikiwae sana🥰
2026-10-01 07:01:07
1
graced.girl
Graced Girl 🌸🤍 :
My brother umeongea vyema 👏👏👏
2026-10-01 04:47:59
1
leon252231
Leon25 :
na kuna hawa atheists huwa ndo wananichosha kwakweli[Teary eyed]... ukweli ubaki kuwa ukweli kuwa ukishindwa kujinyenyekeza huwezi kuappreciate uwepo wa Mungu
2026-10-01 07:34:08
2
chef_timothy_zg
Chef_Timothy_ZG :
Braza unaingia kazi I saa ngapi? Usije kuchelew a mzee😂😂😂😂😂
2026-10-01 05:08:05
1
bella.shop98
bella shop :
Kweli kabisa kaka
2026-09-30 18:08:25
1
iam_v_a_n_i_s_h_e_r
user06091281879 :
sorry broo we uyoo adam na evaa umewajuajee
2026-09-30 17:48:17
3
katashingo369
KATA SHINGO :
the day you will understand this dimension it will make sense...what you call reality its just projection of your mind😀😀its crazy dunia haipo tunavyofunzwa na kuhaminishwa
2026-09-30 19:07:11
2
chumamullah
mullah :
mungu wa vitabu hayupo na ndio maana Kuna mkanganyiko vitabu vyenyewe vinajichanganya Adam na Eva sio watu kama ulivyo fikilia hii ni code
2026-09-30 17:19:16
1
taejackie
Jackie🤎 :
Mungu atusaidie
2026-09-30 11:26:53
3
samweli.mying
samweli myinga :
👌
2026-09-30 16:49:29
1
To see more videos from user @somahosea46, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About