A , B na C yoooote n D....[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-30 19:58:41
0
COMRED☠️☠️ :
none of them
2026-09-30 17:22:35
0
dearbaba :
kwahiyo nikikuta jam mbele yangu nisipunguze nipite nao,ila maswal ya Latra wanatuona madereva sijui hatuna akil
2026-09-30 15:29:31
6
It’s joel :
Napo kayanga brake
2026-09-30 12:50:05
3
yunger95 :
all the three.
2026-09-30 15:07:43
1
msumimtupeace :
jibu (Ukugu) usiku unatumia taa kuona na mtu wa mbele kutambua chombo chako na mvua utatumia wiper Kufuta kiookuona mbelee ila ukungu utakufanya ushindwe kuona mbali zaidi kujihami unapaswa kupunguza mwendo
2026-09-30 15:45:03
5
FAUSTINE✌️ :
Hili hata kamanda wa usalama barabarani hatoboi[Big LOL][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-30 14:47:43
1
Richard Thomas :
☝️yote majibu but kama dereva unaangalia hali ya bara bara ipoje na alama za vibao [road sign]
2026-09-30 13:16:32
5
Abdallah Ally :
mmmmmhhhh B
2026-09-30 19:55:21
0
Suba Brown :
RTO mwenyew alishindwa kujibu mimi ninani😂😂🙌
2026-09-30 15:15:41
4
TRAVELLER'S TZ 🌴 :
watu tushachanganyikiwa 💀💀💀
2026-09-30 11:36:38
1
Black forester :
Ukungu🙌🏽
2026-09-30 11:33:53
1
@anthony_back up :
md wa bamz t
2026-09-30 15:59:46
0
closer look :
b
2026-09-30 14:58:43
1
Isleydrumz :
unapaswa kupunguza mwendo ukifika
2026-09-30 16:14:37
0
juma issa :
majibu yote yapo sawa ukiandika moja wanataka kukukosesha unasema yote majibu ila ngoja niache
2026-09-30 15:51:02
0
𝗳𝗴 🦅 :
Mwendo utapunguzwA pale tu Kuna Alama ya tahadhari ya kusababisha ajali au Hali mbovu ya barabara maybe Hali ya hewa mbaya bhc...pengine ni kumwaga moto🔥😁 160Km/Hour 😂
2026-09-30 18:36:05
0
Joseph Ruben :
Mm Nina majibu hakuna kupunguza waandamane mpk CCM yao
2026-09-30 15:55:31
0
CEO TOKA MAGETONI :
alafu afande anaanza kutoa maelezo ambayo hayapo kwenye machagulio😂😂😂
2026-09-30 16:05:32
0
mar fact :
izo baba hapana jibu hapo zaidi ya sehemu husika ndio itapunguza mwendo
2026-09-30 15:49:30
0
Nenga Tronix🦺 :
nipe muda kwanza then ntapunguza mwendo
2026-09-30 13:11:20
1
last chanse :
Ngoja nimuulize mshauli wangu 🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣
2026-09-30 14:57:04
1
rasta_linho :
2026-09-30 13:25:50
0
Yument✌🏾🇵🇸📿 :
Kwenye uhalisi hvyo vyote ni usiku ukiuliza usiku ni nini hayo ndio mifano yake
2026-09-30 16:07:57
0
THABEET🦅 :
mwaga moto kama dragon 🔥🔥🔥😂
2026-09-30 11:32:52
1
To see more videos from user @johncruiser, please go to the Tikwm
homepage.