sasa kama field tu anafukuzwa na kazi je๐ ๐ ๐
2026-09-30 16:56:22
222
โฅ๏ธ :
sisi wenyewe kuna mtu alikuwa anajifanya mjuaji ana taka atumie PC ๐tukamwambia heshimu vitu vya watu iyo PC ya kazi ๐
2026-09-30 16:25:29
88
officialtonny gentleboss ๐น๐ฟ :
Ehee hehhehehhe eheee hehhehehehe๐
2026-10-01 08:22:48
0
่ทฏ้ฃlufei :
ma HR wanakuwaga naroho mbaya hasa ukiwazid mshahara ๐
2026-09-30 18:19:28
32
Hasley :
sema kimeumana๐ ๐ ๐
2026-09-30 13:59:51
32
Teacher Zay :
enheeeeee hahaha enheeeee
2026-10-01 08:16:20
0
Ja Rule :
Field zote sijawahi elewana na HR
2026-09-30 16:38:15
91
Erwin Rommel :
katika kitu nisichopenda ni kuwatengenezea mazingira magumu wanafunzi wa field wakiwa ofisini, tena tunawaambia kaeni kwa kujiamini kiasi akija mgeni asijue kuwa upo field plus hakuna kutuma tuma wanafunzi
2026-10-01 02:03:33
12
sagehappy_ :
Nafurahi sana kuchukua hii course ya HR maana kitakachofuata ๐๐๐๐๐
2026-09-30 17:09:14
14
itsjoe :
Yona umefanya nn tena๐คฃ๐คฃ
2026-09-30 18:21:18
7
Aden Vales ๐ :
Jamani hapa moja kwa moja so kweli sa wameilock veep wengi hivi kwamba kila mmoja alikuw anabonyeza button au๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐