@____mr_mwanya: kwako @diamondplatnumz 🦁 , Usikubali maneno ya watu yakufanye ujute kufanya jambo jema. Ushirikiano wako na @joellwaga kwenye wimbo wa injili umeonyesha kwamba muziki unaweza kuvuka mipaka ya majina, mitazamo na tofauti zetu 🧐 Kama leo kuna watu wanaona wewe ndiye “giza” kwa sababu tu umeshirikiana na msanii wa injili, kumbuka kwamba thamani ya moyo wako haipimwi kwa kelele za watu. Watu wanaweza kukutafsiri wanavyotaka, lakini nia yako na matendo yako ndiyo yanayojua ukweli ✍️ Usichoke kufanya mema kwa sababu ya maneno mabaya. Wakati mwingine mtu anapojaribu kuleta mwanga, si kila mtu ataufurahia mwanga huo PEOPLE JUDGE ACCORDINGLY 🙌 Endelea kuwa wewe, endelea kuunganisha watu kupitia muziki, na usiruhusu dhihaka za watu zikubadilishe kuwa mtu usiyetaka kuwa 🥴💡 Mungu akutie nguvu, akulinde na akupe hekima zaidi MKUBWA 🙏🏾✌️
мŕ м𝓦𝓪𝓃уa 🦷_🦷
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 11:52:14 GMT
Music
Download
Comments
LEGEND :
Yule anatofauti na CRISTIANO RONALDO AURA. SIIUU IS BETTER THAN MESSI.
2026-09-30 20:10:57
2
Ashfayner❤️ :
kua dimond ni kazi sana🥺
2026-09-30 12:00:57
94
kamyu :
Leo umeongea kwa uchungu sana
2026-09-30 12:13:34
59
🌹 rose :
you better watch your back 😂🤣
2026-09-30 17:58:11
1
BadBoy Chuma :
Hasa Hapoo Ikiwa Bibilia Imeamuru Kila Mwenye Pumzi Na Amsifu Bwana....Shida Hapoo Ni Iko Wap
2026-09-30 14:57:48
22
kipara46f :
Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mwenye nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman😁
2026-09-30 11:59:52
23
MARK💥STAR345 :
USICHOKIJUA NI HUWEZI KUP3WA ANTENTION KOTE KUNA WATU WANA MJUA NA KUTAMBUA SHERIA ZA MUNGU KAISALI NI KAISALI NA MUNGU NI MUNGU
2026-09-30 12:13:57
19
Axcel Muhindo :
Umeongea point brother
2026-09-30 19:04:56
1
Muslim masoud :
that true bro no one can understand
2026-09-30 15:59:21
2
KUBUZIBUZI 🔥🎥 :
sawwasawafgh can Ur AV huukbs ab hi ya SMS
2026-09-30 11:55:44
4
Vay Jose :
nikweli mtupu😃
2026-09-30 12:01:52
6
🔥wizzy🦅 :
leo umeongeae kitu cha poit
2026-09-30 16:38:24
13
dechris :
siku zote ukubwa lawama
2026-09-30 17:09:59
6
MR. G luck💥 :
acha nisome coment2 😢😢😢
2026-09-30 13:41:28
1
Soulkiller :
huo ndo ukubwa wa Diamond
2026-09-30 13:44:13
6
Ms mwanyula🔥🔥 :
Akika kakayetu anapitia mengi
2026-09-30 16:40:41
7
𝓢🎀 :
Ety giza😂😂ila wanadamu😔
2026-09-30 13:58:07
7
💙Misslorah 🥀 :
ubinadamu kazi ✍️
2026-09-30 13:25:55
5
riyaan 🩵🩵 :
😂😂😂 kwel kabsa
2026-09-30 11:57:37
4
dogochodo1 :
kweli kabisa kaka
2026-09-30 11:59:40
6
mariam bussiness83 :
NI UWELEWA TU MDOGO NA UBAGUZI WA KIDINI BASI. LKN UKIANGALIA PALE HAJATAJWA NABII YEYOTE BALI AMETAJWA MUNGU. YESU NI NABII NA MOHAMMAD NI NABII KWAHIYO HAWAKUTAJWA AMETAJWA MUNGU MOJA KWA MOJA ILI NYIMBO AWEZE KUIMBA MTU WA DINI YOYOTE NA DHEHEBU LOLOTE.KWAHIYO WALIOIMBA HAWAKUKOSEA POPOTE KWASABABU WAO WAMEMTAJA MUNGU NA IKUMBUKWE KUWA DINI NI IMANI NA PALE KILA MTU ANA IMANI YAKE. TUACHE KUHUKUMIANA MANA SIO KAZI YETU
2026-09-30 13:46:50
12
cheddy brown :
kwakwel so kwa madem hao
2026-09-30 12:11:03
9
Kid_pulla9🏆🧸🤟🏿_wanaman :
Mwanyaaa🤣🤣🤣🤣
2026-09-30 12:01:17
6
Mirando :
Njo mana tuna kwamba Diamond njo King Tanzania yote
2026-09-30 17:08:29
7
bula :
mapema sana. 🔥🔥🔥
2026-09-30 11:57:13
10
To see more videos from user @____mr_mwanya, please go to the Tikwm
homepage.