@bukheit.altamimiy: Kulia Abeid amani karume Rais wa Zanzibar na muasisi wa mapinduzi kushoto Ni Rais wa Tanganyika Mwalimu julius kambarage nyerere Rais wa Tanganyika ..

Bukheit Altamimiy
Bukheit Altamimiy
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 11:56:24 GMT
13535
525
19
51

Music

Download

Comments

hajimussa696gmail.com1
@just Rafiki♥️ :
Nataman Allah awafufuwe waje watueleze na kutuonyesha HATI ZA MUUNGANO maana toka nizaliwe sielewii!!!!!!!!!!! 😭
2026-10-01 05:58:38
2
khairat.fakih
khairat fakih :
karibu hawapo wote
2026-09-30 16:53:50
1
itsmetz786
Scorpio786 :
Madhalim [Perfect score]
2026-10-01 12:45:06
0
fii5760
fii :
Urafiki wa paka na panya🤣🤣🤣🤣
2026-09-30 19:44:57
2
user5339978603821
user5339978603821 :
tunakumbuka maumivu ya kudhulumiwa mali zetu bila ya kosa.
2026-10-01 04:05:06
1
aaz732
Aaz732 :
Sote tutaondoka duniani. hakuna atakaebaki.
2026-09-30 13:27:35
2
zantel62
zantel :
Hesabu yao mbele ya Allah kwa kuwadhulumu wa Zanzibari
2026-10-01 15:41:28
0
suad.abdalla.alba
Suad Abdalla Albarwani :
Allah ndiye anohukumu
2026-10-01 16:55:20
0
mariammohammed9753
Malaika :
Unawaona hao marehemu
2026-09-30 13:21:48
2
ali.jadu8
Ali jadu :
hawa ndo matatizo ya saiv marehemu hawa mungu msamehe baba wa taifa Abedi amani karume mazambi yake uyo mwengine utajua lakumfanya Allah
2026-09-30 20:25:48
1
munaharaka12
a'saa khairaa :
maisha jamani siki tu dah asimilia kubwa hapo waliopo ni marehemu saiv dah maisha jamani ni starehe fupi tu hata uwitwe nani ulindwe na nani ww utakufa tu jiandae na kifo jama eee jamani kifo jamaa🥺🥺🥺
2026-10-01 16:40:49
0
_saidsule
said sule :
🥰🥰🥰
2026-09-30 18:33:52
1
user4299836704693
shani :
🙄🙄
2026-09-30 15:11:55
1
ally.bushiri74
Ally Bushiri :
🔥🔥🔥
2026-09-30 15:53:06
1
abdallakhamis815
[email protected] :
💯💯💯
2026-09-30 12:10:08
1
asmakhany39
Asma khany 123 :
🥰🥰
2026-09-30 12:28:47
1
raya.khm
Raya Khm :
🥰🥰🥰
2026-09-30 20:47:14
0
idrsahaji
Idrsa :
🥰🥰🥰
2026-09-30 14:47:28
1
hassanagger6
Hassanagger :
❤️❤️❤️
2026-10-01 02:09:50
0
To see more videos from user @bukheit.altamimiy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About