@guidance313: MWANAMKE TAHADHARI SANA NA HILI... #inspiration #guidance #spirituality #motivation #islamic_video

GUIDANCE
GUIDANCE
Open In TikTok:
Region: IR
Wednesday 30 September 2026 12:02:41 GMT
17458
719
41
157

Music

Download

Comments

sashashaom637
sashashaom4 :
🤣🤣🤣🤣ila wanaume wanadhani wao ndio wafanyiwe kila kitu wao jaman na sisi ni watu mapenzi ni huruma jamani
2026-09-30 20:07:44
5
ummhaniya2
Ummhaniya :
aende
2026-09-30 15:35:17
4
shabanathu
عائشة :
mnataka tuwatimizie haki zenu ila nyie mnatuacha kama tulivyo ukipanda wema utavuna wema ukipanda ubaya utavuna ubaya.
2026-10-01 20:47:35
1
malkia341
Malkia :
Nilikuwa nafanya lkn tangu alipo amua kupata kwengine tu mwenyewe sifui kwa raha zangu nasaidiwa [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-30 22:15:41
1
minkhatar
min-khatar🧠🫀 :
sisi hatukuolewa kwa ajili ya kufua wala kupasi tumeoleqa kwa ajili ya kukutuliza hahaha za mume na hio ndio dini inavosema usivuke milaka ya mungu na hadi5hi za bwn mtume
2026-09-30 19:34:33
2
queen_mother005
Queen_mother :
si wajibu wangu na sipati dhambi nisipofanya..khalas! kama tatizo ni kutoka nje hiyo ishakuwa kawaida kwa wanaume wengi karne hii na wanawake wengi wamekubali kuishi na huo mtazamo.. uzinifu umekuwa kawaida hata nyinyi masheikh wengi wenu kuna namna mnashadidia! vipi mwanamume afanyiwe ihsani ilhali yeye yale ya fardh kwake hatimizi? mmeamrishwa kuishi na wanawake kwa wema lakini wengi wenu mmekuwa kama masheitwani majumbani mwenu,majukumu yenu hamtimizi vipi mwanamke akufanyie mambo hayo? Amrisheni wanaume wasimame kwenye nafasi zao..kama viongozi mmeoza tabia vipi wafuasi wenu wawe waongofu?
2026-10-01 18:34:55
1
user3607288171698
mimah H³ :
kama hanihudumiu na hayo yote nifanye tuuu kama nan hanilish wala hahudumii watt
2026-10-01 18:48:26
1
samishshaaa
Ummu Nuzeyr 💕 :
Ah hata msitukere Tena maana vyotr Hawa wanafanyiea lkn bado wanavitiatia vya nje... Tena msinipigie kelele..
2026-10-01 14:27:45
0
najma.illamdin
sultanat :
ustad hiviyu si vizuri ku sema
2026-10-01 05:21:53
1
ipty_cutie2
Marie's :
Sawa kabisaa..lakini mapenzi ni upande zote mume pia ni wajibu wake kunionesha mapenzi na hurumu...nifanye mimi tuuuu?
2026-10-01 04:56:21
2
shaimahmwangi001
Shaimah Mwangi 001 :
hatujakataa lkni hata wafanyiwe vp wakucheat yupo na wakwenda atakwenda hata umfanyie nn
2026-10-01 06:12:04
1
user1964889
user1964889 :
Shekh na Ss pia Twahitaji kukandia tunachoka na kazi za nyumba kulea wtt sio Ss tuu jameni tuma wapikia na mambo mwengine lolo
2026-09-30 18:39:00
1
umiy.izzudin
Umiy Izzudin :
huduma sio kwenu tu. ata mke anahitaji mapenzi na matunzo. mnajivutia nyie tu.
2026-10-01 18:17:35
0
shanisultani100
Bint sultan🥰 :
mm namfanyia mumewangu nanikichoka ananielewa nashukuru kwahilo alhamdulillah
2026-10-01 19:13:01
0
umu3963
umu :
naende bwana choka ndoa mumeifny km utumwa kwa mwanamke sasa yeye mwanamke hapaswi kufanyiwa km anavo fanyi mume
2026-10-01 16:48:21
0
nuratyusuphu
Nurat Yusuphu :
naakandwe tu kheshe mm nitamkuta mume wangu wa milele kwa mungu ili mladi tu nimlidhishe muumba
2026-10-01 13:42:53
0
samiha.ali94
Samiha Ali :
hahahaha
2026-09-30 18:07:29
0
user3607288171698
mimah H³ :
tulifanya zaid ya hayo na tukasalitiwa aende tuuuu atarudi kama ni rizk yangu
2026-10-01 18:49:38
0
aisha.isss
aisha issa :
hi hoja iangaliwe vizuri 😂😂😂 namm nataka kukandwa mwenzangu[Tears of joy]
2026-10-01 01:13:04
0
kents.ruqayyah
Kents Ruqayyah :
hao ma waidha yasio kuwa na ayat amma Hadith uwe unabaki nao kbs, hapo hamna funzo hata kidogo. Mke kaolewa kua mke wa nyumbani na wala sio mjakazi wa nyumbani, yoyote mke anayo yafanya nyumbani ( kazi za nyumbani) anakusaidia wewe mume. na tukangalia upande wa diini mume ni wajibu kumtunza mke ( kumlisha, kumvika, Mahali pa kuishi pazuri, matibabu,) chochote mke anacho kitaka mume ni wajibu ku kimpa ki kiwa ni halal. lakini pia upande wa diini mke sio wajibu ukimpikia mume wala kufulia wala kumtumikia kazi za nyumbani, mke ni wajibu kumpa mume haqqi yake kitandani akiwa hana dhwarura, mke ni wajibu kuwapa watoto marezi mazuri tabia njema za kislam, mke ni wajibu kulinda Mali ya mumewe wakati mume hayupo. ndo majukumu diini ilimpa mke , na wala diini yakumfanya mke kama mtumishi, mke ni Rabbitul baiti ( malkia wa nyumbani)
2026-10-01 06:52:29
0
kauthjjc97u
@@@@ :
Salam zao aje aeafanyie na wanawe mume atazid kupendwa
2026-10-01 16:09:51
0
swabrahass51
user5305902450612 :
sai Alhamdulillah huyu anajua thamani yangu
2026-10-01 10:03:13
0
udahmahfudh
udahmahfudh :
mke hafai yeye kufanyiwa hayo? na wakwenda ni wakwenda tu
2026-09-30 18:25:24
2
user2057165561631
Inna cuts toto la kinyamwez😘 :
🤣😂😂nipo njoo chekhee nikupokee
2026-10-01 07:19:54
0
mamu06199
mamu :
😂😏
2026-09-30 17:41:34
0
To see more videos from user @guidance313, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About