guys nimefall in love na mwendawazimu ndo asiwai nicheat aki 😩😩😩😂
2026-09-30 17:30:11
2
josie💢💢 :
tha fact 😭😭
2026-09-30 12:35:18
2
janjez kaje :
Wacha tuu solve ..cna machozii mm
2026-09-30 12:41:17
1
Justa Jhelno :
wangu tulinyamaziana bure sijui tangu lini tutawahi rudi ka zamani kwelii🫴😅😅💔💯 anyways ni maisha 😅😅😅alipata kenye alikua anataka 😅😅😅
2026-09-30 15:36:27
3
Neila kiende :
mbn ukusema mapema before nimuache,saa hii naonyeshwa matharau heri ule wangu but najirudisha tusolve 🤣🤣🤣🤣
2026-09-30 12:34:18
1
Christine 💫💫V :
wangu nilinyamaziwa siongeleshwi three weeks now na shida sijui ni Gani.....alafu watu wangu sema kumuota Kila siku akh mpaka naamka usiku kukaa tu nikiwaza