@selphix_media1: Msanii na mdau wa muziki, Steve Nyerere, amekemea wanaomrekodi video Zahir Ally Zorro pindi wanapokwenda kumjulia hali. Steve Nyerere amesema ni vizuri kwenda kumtembelea gwiji huyo wa muziki wa dansi, lakini sio sahihi kumpiga picha na kumrekodi video kwa hali aliyonayo sasa hivi. "Sio sawa, watu wanaenda pale kwa Mzee Zorro, hata kama unamletea rizki lakini ndiyo upige naye video?", anauliza Steve Nyerere. "Kupiga picha na mgonjwa hakukatazwi, lakini mgonjwa yupo kwenye hali gani? Anaongeza Steve. Saluti5 ilipowasiliana na mtoto wa Zahir Ally, Banana Zorro juu ya kauli ya Steve Nyerere, akasema imekuja katika wakati sahihi. "Kwa kweli sisi kama familia zile picha hazitupendezi ingawa Mzee wetu ni mkarimu, mcheshi na mpenzi wa kupiga picha lakini kwa sasa si jambo sahihi" alifafanua Banana Zorro. Powered by: @sephil_sapphire_pride_castle @come_and_savegiftshop @comeandsave_decorationcenter Tembelea YouTube channel yetu ya Selphix Media kupata taarifa nyingi Endelea kufuatilia @selphix_media kwa Habari Zaidi #SelphixUpdates #selphix_media
selphix_media
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 12:39:59 GMT
Music
Download
Comments
janenya :
nami naunga mkono hii sio njema
2026-09-30 14:39:48
74
Nuru Issa :
NAUNGA MKONO HOJA
2026-09-30 15:37:58
17
nikweli kabisa haijakaa sawa kabisa na hizo posti zao wazifute
2026-09-30 16:07:48
21
farida mwamini :
wambie awajui kesho yaoo
2026-09-30 15:00:28
15
eugenialuambano85 :
Upo sahihi wakinyumba waambie waache sifa
2026-09-30 14:55:20
13
Emmy shabe :
Of course
2026-09-30 18:35:37
0
Christina B :
ni kweli upo.sahihi.sio.vizuri walichokifanya
2026-09-30 15:49:08
10
phanuelnkinda :
point kbs
2026-09-30 19:34:22
0
jenny 💘💯 :
kweli kabisa, sio sawa
2026-09-30 14:37:34
6
kashy649 :
Mbona mwana fa Ali record 🎥
2026-09-30 16:25:06
0
annagidion :
Wamepiga picha yeye kapeleka nini?
2026-09-30 15:10:44
7
Watende :
upo sahihi
2026-09-30 15:29:47
6
Hayman luckman :
waachee
2026-09-30 17:48:59
0
Joyce Mihanga :
kwel kabisa
2026-09-30 15:43:50
1
Michael Ntusse :
𝐄𝐱𝐚𝐜𝐭𝐥𝐲
2026-09-30 16:21:12
0
I.t.s.NAJIE🦋 :
Hata mm sipend wasimpge picha hyo baba jmn
2026-09-30 15:41:48
7
fahmy :
kweliiii mkubwa wanamchoresha
2026-09-30 15:57:58
2
eusebio da silva :
really
2026-09-30 18:33:12
0
bahati chawala :
kiukweli siyo poa nimeona pia nikawaza hvyo kusema kweli
2026-09-30 15:23:26
10
Kadadaa cake :
Kuna nn? tena jamniiiiii
2026-09-30 18:55:55
0
marrykingi :
kweli kabisa
2026-09-30 15:29:09
2
umulheri yahaya :
nikweli kaka
2026-09-30 16:02:18
3
Amina Kalisa :
uko sahihi .
2026-09-30 15:46:40
1
brighitatinah :
n kwel
2026-09-30 15:38:16
1
Aisha juma :
kweri kabisa
2026-09-30 14:35:45
4
To see more videos from user @selphix_media1, please go to the Tikwm
homepage.