Pole sana my mungu akupe subra na uvumilivu duuuuh 😭
2026-10-01 08:02:33
2
zainabukwata :
Pole ndugu kiatu chako kinabana my ii ndoto ata ulale mara elfu aiwezi isha bila Mungu akuna imani Mungu ndio anajua ayo maumivu pole sana 😭
2026-10-01 13:35:30
2
abishaikibona3 :
Pole mama angu Mungu akutie nguvu kipenzi,Ila kuna ufufuo na wapendwa wako utawaona Tena,Wewe kuwa na tumaini ilo Tu,Usikate tamaa jipe nguvu na Utashinda,
2026-10-01 19:17:52
2
To see more videos from user @zuhura.msangi8, please go to the Tikwm
homepage.