Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@phun.sanga1: ဆောင်းမနက်ခင်....သို့ တေးဆို...ဇော်ပိုင် #foryoupage #phunsanga #Song #follow #အားပေးမှုကိုကျေးဇူးတင်တယ်😊
Phun Sanga
Open In TikTok:
Region: MY
Wednesday 30 September 2026 13:10:09 GMT
2532
154
4
20
Music
Download
No Watermark .mp4 (
15.54MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
15.54MB
)
Watermark .mp4 (
30.4MB
)
Music .mp3
Comments
Bunny Tales :
❤️🥰❤️
2026-10-14 18:10:00
1
Bunny Tales :
❤️🥰❤️🥰
2026-10-14 18:11:43
1
winminaung794 :
💞💞💞
2026-10-01 04:51:07
1
To see more videos from user @phun.sanga1, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#фильмынавечер #серияфильмов
part 3 II ib: @𓆩𝕴𝖟𝖆𝖐𝖎 𝖊𝖉𝖎𝖙𓆪 II sorry for quatily II kaiser edit II song : idk II bad edit 😭 II hashtag : #anime#foryou#rival#bluelock#kaiser
Hurricane Melissa update - 12 noon, Jamaica. Footage as the hurricane makes landfall with historic 185mph winds #hurricanemelissa #melissa #jamaica #news #fyp
DOVE'd Up tee has just dropped! An iconic design merging Bryan's K with the universal symbol of peace and love. Crafted from premium-quality tees and finished with the exceptional print quality you've come to expect from Club FC. All the quality, at a more accessible price point than our premium jerseys. Secure yours now.
The Prisoners Movie #movie #movieclips #moviescene #suspense #fyp #foryoupage #movie #debate #CleanTok #baby #fashion #netflix #mustwatch #suspense #lunch #pregnant #comedia
Lakini maisha yao hayabadiliki. Si kwa sababu maombi hayana maana. Bali kwa sababu baada ya kuomba, wanarudi kwenye tabia zilezile zilizowafanya wabaki pale pale. Ukweli mchunguu ni huu: Maombi yanaweza kukupa nguvu, lakini wewe bado unapaswa kuchukua hatua. Kama uko tayari kujijenga upya, anza na hizi tabia kwa siku 90: 1. AMKA KABLA YA KELELE Asubuhi ikiwa bado dunia imetulia, usikimbilie simu. Tumia muda huo kupanga, kusoma, kutafakari na kufanya jambo linalokusogeza mbele. Usianze siku kwa kuscroll maisha ya wengine. Anza kwa kujenga yako. 2. Fuatilia KILA SHILINGI Kama hujui pesa yako inaenda wapi, utatumia maisha yako yote kuikimbiza. Andika kipato. Andika matumizi. Panga kila shilingi kabla haijapotea. Pesa isiyopangiliwa hupotea kwa urahisi. 3. UZA KITU KILA SIKU Huhitaji kuwa na bidhaa dukani ili kuuza. Unaweza kuuza ujuzi wako, huduma yako, mawazo yako, bidhaa, au thamani yako. Kwa sababu biashara haiwezi kukua bila thamani kufika kwa watu na watu kuwa tayari kulipia thamani hiyo. 4. ACHA KUISHI MAISHA YA KUJIONYESHA Usitumie pesa kuwaaminisha watu kwamba umefanikiwa wakati ndani unahangaika. Usinunue status kwa gharama ya future yako. Jenga kwanza. Onyesha baadaye. Ni bora uwe na maisha madogo leo na msingi imara kesho kuliko kuonekana tajiri leo huku ukizama kwenye madeni. 5. JIFUNZE UJUZI MMOJA WA KUKULETEA PESA KWA KINA Usikimbilie kujua kila kitu kidogo. Chagua skill moja: Mauzo, Copywriting, Content creation, Marketing, au ujuzi mwingine unaoweza kuuzwa. Zama ndani yake mpaka uwe mzuri sana. Ujuzi unaoweza kutatua tatizo la mtu una thamani. 6. LINDA NGUVU NA MAZINGIRA YAKO Sio kila mtu anastahili nafasi kubwa kwenye maisha yako. Kama kila siku unasikia malalamiko, kukatishwa tamaa na mawazo yanayokufanya uogope kujaribu, hatimaye utaanza kuamini hayo. Chagua mazingira yanayokufanya ujifunze, ukue na uchukue hatua. 7. JENGA UWEPO WAKO MTANDAONI Dunia imebadilika. Kama una ujuzi, bidhaa au huduma nzuri lakini hakuna anayekujua, ni vigumu kufikia watu wengi. Onesha unachojua, shiriki thamani, na jenga uaminifu. Usiogope kuonekana, lakini usioneikane kwa ajili ya likes tu—onekana kwa sababu una kitu cha thamani cha kuwapa watu. 8. WEKEZA KWENYE MAARIFA Kuna vitu vinakupa raha kwa saa moja, na kuna vitu vinakupa uwezo wa kutengeneza matokeo kwa miaka mingi. Vitabu, kozi, na ujuzi. Usitumie kila pesa kwenye starehe halafu ulalamike huna pesa ya kujijenga. 9. PUNGUZA MANENO, ONGEZA UTEKELEZAJI Usimwambie kila mtu mipango yako. Fanya, jenga, jaribu, kosea, rekebisha, na rudia. Wakati mwingine matokeo yako ndiyo vanapaswa kutangaza kuliko maneno vako. 10. SHUKURU, LAKINI USIKATE TAMAA YA KUKUA Kuwa na shukrani kwa ulicho nacho. Lakini usitumie kuridhika kama sababu ya kuacha kujijenga. Unaweza kushukuru kwa leo na bado ukafanya kazi kwa ajili ya kesho bora. SIKU 90. Sio uchawi. Sio guarantee ya kuwa tajiri. Ni siku 90 za kujenga nidhamu mpya. Siku 90 za kuacha visingizio. Siku 90 za kufanya wale unayosema unataka. Na ukiweza kubadilisha tabia zako kwa consistency, baada ya muda unaweza kugundua kwamba wewe ndiye umebadilika kwanza—ndipo maisha yako yakaanza kubadilika. Usisubiri motivation. Anza leo. ❤️ FOLLOW ukurasa huu kwa mafunzo zaidi ya biashara, mindset na kujenga kipato. 📦 SHARE ujumbe huu kwa mtu anayehitaji kuanza upya. Usiombe maisha mapya huku ukiendelea kuishi kwa tabia zilezile. #BiasharaMtandaoni #OngezaKipato #Ujasiriamali #Mindset #Mafanikio
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy