kupeana Raha Na pia inaongeza mapenzi Na mshikamano Kwa jamii.imani kutiana
2026-10-01 05:43:53
0
zaby mahfudh :
si kwa haruc tu shekhe 😂😂😂
2026-10-01 05:29:36
0
AJABFASHION :
(Peaneni mtapendana) n hizo pesa za kutuzwa pia tukipata waume twawapa Sasa ikiwa nae mwenzangu alinifurahisha siku ya harusi yangu mm siku yake nisimfurahishe? Sheikh wanaume wamezidi ubakhili Neno kubwa sina sina wanawake tunajikidhi wenyewe mambo mingi.
2026-10-01 03:12:36
0
user8651959824600 :
sheikh nikutiana iman
2026-09-30 22:48:55
0
S.H.B. :
kabisa sheikh tena wanamzidishia na kusababisha shida kubwa kwenye ndoa
2026-09-30 15:02:42
0
Cute binaty🍭🍭 :
kweli shekh
2026-09-30 20:10:37
0
St💫r :
ila tume ambia malipo ya wema ni wema
2026-09-30 17:37:34
0
mtsumi :
2026-09-30 17:24:25
0
dida :
Tena waandikwa kwa kitabuuu ndio asisahau Kama ulitoa 😂😂😂
2026-09-30 15:55:40
4
Twinklingtiers🇨🇦 :
Huo ni ujinga,kama Mimi nimekupa zawadi hio ni zawadi sio deni,kwa nini saa hii zawadi ingeuka kua deni?na nimuhimu kama wataka kumzawadia mwenzako siku ya harusi ya mtoto wake pls keep it private,sio kumpatia mbele za watu,hio ni show off😏.
2026-09-30 14:15:37
2
BUSINESS EMPIRE TZ :
Kila kukicha watu ulimbuleni unawazidi
2026-10-01 05:59:13
0
patawewe :
kama alivo sema shek toa kwa ajili ya Allah wala usitoe ili nije nikulipe
2026-10-01 00:04:20
0
Nuru Sweet Mabuyu :
Sheikh umegonga ndipo wanawake tunateseka sana kisha wanajiita pambe kumbe hawapumui kwa madeni
2026-09-30 18:49:03
0
Zahara Mtinda :
shekh hujakosea ndivyo ilivyo sasa yani nitumach. kama kunasare kwenye sherehe kwake sijachukua siku ikiwakwangu hatochukua yani hekaheka mitaani
2026-09-30 14:58:30
0
Abdallah malki Omar :
🥰🥰🥰
2026-09-30 21:08:18
0
Omar Hassan :
🥰🥰🥰
2026-09-30 17:22:51
0
GRACE JK BOSS 0% :
[Réconfortant][Réconfortant][Réconfortant]
2026-09-30 17:38:19
0
user3995632144801 :
💞💞💞
2026-09-30 18:09:51
0
alimohammed6917 :
👍
2026-10-01 05:33:47
0
babu :
[Perfect score]
2026-09-30 21:00:14
0
أميرة بأخلاقها🇴🇲 :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-30 13:39:44
0
To see more videos from user @mbtvkenya, please go to the Tikwm
homepage.