@islamicswahilinet: UKWELI MCHUNGU KUHUSU SIKU AMBAYO TUTAICHA DUNIA Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 13:55:37 GMT
7170
840
19
18

Music

Download

Comments

hussein.ally261
Hussein Ally :
Subhanallah 😭😭😭😭
2026-09-30 14:51:33
3
ummysaidi978
ummy :
Allah akbr
2026-09-30 14:06:55
2
hijab_girl_3101
Ice_berries 🍒 :
Allah tujajilie mwisho mwema ya rabiii🤲🤲🤲
2026-09-30 14:28:28
2
omary6422
omary :
Allah akbar
2026-09-30 13:58:49
2
yunusu.mzamilo3
Yunusu mzamilo :
Allahu akbaru
2026-09-30 14:34:14
0
user9811807385407
Abuu Aisha assalafy :
Allahu Akbar
2026-09-30 16:20:37
0
user9576502585856
baby🦚💐mwaju :
subuhallah allah atupe mwisho mwema
2026-09-30 16:06:51
0
feisalbryalugaba7
FEI FOFANA FEITOTO :
allAh akbar
2026-09-30 15:54:33
0
townboy_tz
K E M A L ✨🫟🌌 :
🙏🙏🙏🙏
2026-09-30 14:04:59
2
salim.khan.amir.a
SALIM KHAN AMIR AMIR SHABAN :
🥰🥰🥰
2026-09-30 14:28:49
1
user9576630736586
swadeeq :
😳😳😳
2026-09-30 13:59:27
3
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About