@mc_tonny_: FINALLY Huyu ndio IRENE wetu 🙏 nimefurahi sana kuona wanapendana kiasi hiki aisee nimeguswa sana na maisha yao kulingana na hali yao ya kipato naomba tuwape support kubwa sana hata wafungue banda la Chipsi tu 🙏 (0767172528 jina DAVID KIBWEJA) kirikuu na Irene wameniambia wanaweza kufanya biashara ya kuuza Chipsi naomba kwa upendo mkubwa natamanj tuwatimizie hitaji hilo 🙏 Kirikuu kazi yake ni kupiga Debe kwenye daladala lakini mke wake hana kazi yoyote yupo tu nyumbani lakini pia hata mawasiliano hana namaanisha simu kwa namna nilivyoongea nao wote wawili wanasema kuwa na banda la chipsi itawasaidia sana na ni biashara wanaweza kuanza nayo kuifanya ndugu zangu 🙏 Irene tumemsubiri kwa muda mrefu sana sana finally ameonakana na napenda namna wanavyopendana ndugu zangu itapendeza sasa kwa upendo mkubwa tuwasogeze sehemu kidogo wawe hata na ofisi ndogo ya chipsi ili wawe wanashinda na kuuza hapo 🙏 KAMA UMEMKUBALI IRENE MWAGA MAKOPA MENGI ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️