Mimi baba yangu alinipokea kwa mikono miwili tena nikiwa na mimba juu baba akasema ww ni bint yangu mimi ukifa sitopata tena kama ww ila yeye ataowa mke mwengine nani mwenye hasara hapo tulia mwanangu 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-01 07:39:19
8
Mary Pascal :
Mi naumaskin wangu ila nina kibur huwez ninyanyasa akii😂