@pci_tanzania: Fitting ya kwanza 🔥 Vuta picha baada ya beading itakuwaje? Hapa ndoto inaanza kuonekana kwa macho Masterclass ni hatua moja karibu na kutimiza ndoto za kuwa designer kamili Tunapatikana; Kijitonyama nyuma ya Kanisa la KKKT 📞0718731438 #pcitanzania #fashionschool #daressalaam🇹🇿 #creatorsearchinsights #maskfacemaskgirl