@mesh.abdulrazak: Replying to @user254msapere #lamutiktokers #kenyantiktok🇰🇪 #fypage #meshtheunstoppable #africantiktok

MeshTheUnstoppable🇰🇪
MeshTheUnstoppable🇰🇪
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 30 September 2026 14:34:12 GMT
22653
968
153
119

Music

Download

Comments

user254msapere
Romma sovereign 🇺🇸🇵🇹🇰🇪 :
Mzingatie environmental issues pia, look at the Niger delta hata samaki walisepa kisa mafuta
2026-10-03 21:34:19
0
arshadalibhai1
Kusema na kutenda :
Leadership in counties including Lamu very poor 😡there no hospital no schools online no jobs 😡
2026-09-30 16:36:54
9
user5093571921618
user5093571921618 :
true bro
2026-10-02 15:20:07
1
abdallahzeinbaabad
Tamula shoe⚓️ :
everyone is greedy nothing for the needy 😂
2026-10-02 16:27:18
2
user6683008758184
Eduardo Mondlane :
Sema ukweli vijana hawataki kusoma si viongozi hata ukitaka kuwasaidia hawasaidiki ujuaji na mihadarati
2026-09-30 16:50:07
21
janechege46
Jane :
Thanks for the advice to the people of Lamu. God bless you.
2026-10-02 06:10:54
2
lovianas_kitchen_001
LOVIANA'S KITCHEN :
Cz watu wabara don’t have rights or what? Qualifications matters 😳
2026-09-30 15:31:04
4
karishmlamu1
Martoo Lamu🚛 :
ukabila ndio changamoto
2026-10-01 07:18:25
4
spiritofshaka
SpiritOfShaka :
sai vijana wanafaa kuwa trainig, hapo lawama itakuja wakikosa skills
2026-09-30 15:09:42
11
rikoboymali
Glass class 👌 :
tosha that's the answer,,the leaders
2026-10-01 06:22:19
1
rashford699
Man Naim :
mbona unasema ukweli bro😳
2026-09-30 16:09:24
6
aishasmall001
Aishasmall001 :
sasa wao wenyewe wamehamia mombasa wote,viongozi wakipata pesa mombasa here l come mmh🤣🤣
2026-10-01 18:53:32
2
kawayaelectrician
KaWaYa electrician mpekotoni :
apo napo umebonga point kiongozi
2026-10-01 07:20:25
1
josphat.kurua
Josphat Kurua :
not even one talking about side of land owners
2026-09-30 15:52:48
6
catszone9950
catszone :
Si kwa ubaya vijana wengi wakimali primary wanaingilia kazi ya bahari a MA boat
2026-10-02 12:31:36
1
cash_dady1
mtu_mbadii OG :
ukweli usemwe kabisa
2026-10-01 08:10:57
1
kisulisuli.pekecha
kisulisuli@pekecha :
viongozi wa lamu wengi wanakaa mombasa sasa watajuaje shida za lamu.
2026-09-30 16:57:34
6
zakumeraiddi
Hamisi Mwazani :
Nafasi za kazi na ajira zitakua kuwango kikubwa LAMU, ila changamoto hazitakosa... Sasa watu waende kusomea kazi usika ili kuweza kuajiriwa. insha Allah
2026-10-02 04:17:37
2
mamamwanakombo
mk collection :
Allah atawazindua inshaallah 🤲
2026-10-01 03:44:16
1
user5736354923159
user5736354923159 :
swadakta mungu akuweke ukisema ukweli
2026-10-01 15:49:20
1
user9141926722709
سعد نور عدنن مولن :
kabla ya makazi,mwanzo tulipwe haki zetu za mashamba kma nkweli,maana kulikua na watu wanaishi miaka mingi,serikali itengee hela ya watu w mashamba.
2026-09-30 19:15:53
3
saadiyamohammad
shuuna helwa :
Matatezo ya vijana hawatakia kusoma wamiweka starehe mbili wacha nikwambia bro wabara wanasoma sisi kwa sisi hatupendania mungu yuko
2026-09-30 18:11:58
3
hamzaahmed25549
Bonny007 :
Matatizo ya Lamu ni Elimu jamii yetu imepuzia Elimu na hatusomeshi Vijana kiasi ya kwamba hata Vijana wamesahau ni nini maana ya Elimu.
2026-10-01 03:54:34
2
jaffar.abdallah1
jaffar abdallah :
umeongea ukwel bro good👍
2026-09-30 15:15:36
4
user28182609188323
Dad kingan :
pple of Lamu must sit down and organize themselfs not dacing on the road na mandamano the same same pple wanawadangaya waende mandamano ndio watawanyangaya.shapen them my friend wafanye vikao na viongozi wao.Huu mradi ungekuwa kure kwingine hata mandamano haungeona
2026-10-01 17:31:36
1
To see more videos from user @mesh.abdulrazak, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About