@jamiivoice_: HABARI: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema Madereva wamedhihirisha kwamba ni watu wanaopaswa kuheshimiwa kutokana na umuhimu wao katika uendeshaji wa shughuli za uchumi wa nchi. Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi Ukerewe Mkoani Mwanza, Heche amesema iwapo chama hicho kitashinda dola kitahakikisha kila anayetimiza umri wa miaka 60 anapokea pensheni ikiwemo Madereva.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🙏HECHE jau sana Dunia Gani iyo madereva wasio WA serikali uwalipe wewe
2026-09-30 16:27:04
3
John Ngabana :
Taarifa Mh...........🙈
2026-09-30 15:13:33
4
cleyce bracks :
mmeanza siasa sasa za kutulagaii...shida siyo kuovertake shida ni kuovertake sehem hatarishi
2026-09-30 14:57:25
4
josephtesha00 :
tunakuelewa ila hatujitambui kwenye sheria
2026-09-30 15:41:04
5
Chacha the nature lover :
mfano mzuri barabara ya tarime mashimo kila mahali
2026-09-30 15:03:12
8
waterproof 💧 :
😃😃😃😃😃😃peleka moto
2026-09-30 16:49:18
7
BABA EZE :
mwanasiasa aliniaminisha ni magufuri maana hakuwa na maneno mengi alikuwa ni kazi tuu
2026-09-30 16:26:16
1
Prince MA Keys :
wape elimu mzee
2026-09-30 16:30:20
1
Shomvi Manase :
kwel kabisa
2026-09-30 17:07:05
2
Sure_boy26 :
Heche mitano Tena baba
pipozi pawa
2026-09-30 16:06:36
4
Mr nafaka :
ila siasa ni mchezo mbovu sanaa
2026-09-30 15:41:43
3
Mayem2005 :
ka mkubwa road ya kutoka mwanza had Serengeti pale ni mashimo matupu
road 🛣️ni mbovu kinouma
2026-09-30 15:16:56
5
mwile :
kabisaaa
2026-09-30 16:43:58
2
kadoma@999 :
hayo nimaneno tu ixo ni siasatu kwani hao wakina eche hawana watu wanao hitajika kulipwa na hawawalipi waache ujinga watanzania kwa sasa tunajielewa hatudanganyi
2026-09-30 18:11:53
0
amisiyusuphmkwama :
tusaidie kiongozi wetu
2026-09-30 15:33:18
1
Adam tesha :
kweli mkuu
2026-09-30 16:29:13
1
Nestory090 :
madereva wanaonekana hivyoo kweli
2026-09-30 14:54:43
3
user4712779024175 :
ok sawa mkuu barabara hakuna weka kama za kibaha to ubungo uone faini itatoka wapi
2026-09-30 16:04:52
2
idrisa ally :
wazee wakwenda na matukio Yan uwape nchi vichaa
2026-09-30 17:40:04
1
Yuyajunior :
kwenye penshen apo n uongo na kutembea dunia nzima ni uongo
2026-09-30 17:58:36
1
FEFE T :
huku lazima ipite ya mwendo kasi🤣
2026-09-30 16:41:14
1
Maumau march Mwana wa adamu :
one way road hizo ndiyo bara bara kubwa tz sigle road yani two way
2026-09-30 15:01:21
2
To see more videos from user @jamiivoice_, please go to the Tikwm
homepage.