I find it difficult to tithe. I know it is right but I just don't please pray for me to be faithful .
2026-10-01 06:33:44
1
Belinda😍 :
wah huu ujumbe ni wangu
2026-09-30 15:32:25
13
BTurban :
lakini mambo ya fungo la kumi usitaje tena na ukitaja, Taja agano la kale yote. Tulikombolewa na damu ya Yesu na kumtolea Mungu kwa huo ufunuo na kwa upendo sio masharti ya asilimia flani. Mimi najua msingi wa makanisa imekuwa kikapu na sio Yesu tena na ishara zake zinaonekana.
2026-10-01 20:01:02
3
Sophia Mnunge :
nakuelewa sana jamani mko wapi nije siku moja
2026-10-01 09:17:24
2
Emily Wa Yesu :
Asante Kwa ujumbe Huu Mtumishi.
2026-10-01 08:12:42
3
Elior Ir mulengo kasope kind :
Plz can I get your WhatsApp number??
2026-10-08 17:13:39
0
Joehmaker@# :
@spearburning:Nakufuatilia sana mtumishi wa Mungu,yaan Man of God,nina swali langu nataka nikuulize shetani amepata wapi mamlaka ya kuwa mkuu wa ulimwengu huu na Kristo alikuja ulimwenguni ili tuwe na uzima tuwe nao tele na vitu vyote vimetiishwa chini yake kwa sisi tunao mkiri Kristo kuwa bwana na mwokozi wa maisha yetu inakuwaje tena shetani atawale ulimwengu na sisi ndiyo tumepewa mamlaka ya kumiliki na kutawala baada ya Kristo kusulubiwa msalabani alitupatanisha na Mungu kwa damu yake na ardhi pia
2026-11-02 18:47:20
0
Omega Evangelist Justine :
uwe hai tu kwaajili ya BWANA yesu
2026-11-03 12:51:23
0
doktanoel1 :
Kumbe muda mwingine ni kupuuzia mambo, nimejifunza kitu🙏🙏🙏🙏🙏🫡🫡🫡🫡🫡🫡
2026-10-06 06:36:26
1
GJos :
Aminaa
2026-11-02 18:21:00
0
huruma nicksoni :
hakika
2026-11-03 08:15:43
0
Gdoroth❤️ :
Kwel kabisa tukizingatia hak tutavuka.
2026-09-30 20:36:41
1
TITA_BOY :
NIMEFUNGULIWA KWA JINA LA YESU KRISTO AMEEEEEN🙏🙏🙏
2026-10-25 20:25:41
0
Dids :
Niandike nisisahau
2026-09-30 15:00:28
1
kalpanasheti :
amen
2026-10-12 11:44:15
0
Lilian Manny :
Powerful!
2026-09-30 15:07:03
0
Dundo Og👊 :
amee
2026-10-24 09:43:08
0
🦋itsMushiEssence🦋 :
amen
2026-10-16 12:33:47
0
mima :
🥰ameen
2026-10-03 08:25:22
0
pendolove :
mungu n rehem mm😭
2026-11-07 00:21:06
0
RAIMONI RICHIMONI :
nikweli
2026-10-03 11:25:34
0
Jonathan jo :
Amen Amen Amen
2026-10-04 16:48:05
0
faithsister :
Ameeeeen
2026-10-03 16:49:50
0
spelidamjuni :
Amen
2026-10-03 12:57:22
0
Muisrael :
To be careful
2026-09-30 15:16:20
0
To see more videos from user @gcangel1, please go to the Tikwm
homepage.