@islamicswahilinet: Kisa cha Mtume (SAW) Kulia Kwenye Kaburi la SWahaba Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 15:01:11 GMT
Music
Download
Comments
Ibrahim hassano :
saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw
2026-09-30 19:00:10
2
mussapaulo120 :
saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw saw
2026-09-30 21:08:13
0
wardathamisi535 :
mungu tujalie mwisho mwem
2026-09-30 20:03:20
3
Barakhan :
😭😭,allah tujalie mwisho mwema
2026-09-30 15:33:34
3
user9399438281751 :
allaahu akbar
2026-09-30 15:08:17
2
jumashabani201 :
Allahu Akbar Yaa Rabby tujalie mwisho mwema 🤲
2026-09-30 18:32:08
2
amadah dadi :
tak birrrrrr
2026-09-30 20:00:48
1
user5939126113395 :
Allah akibar
2026-09-30 17:57:55
1
lazia :
Allah akbar
2026-09-30 18:16:42
1
Hafsa Yusuph♥️♥️♥️ :
2026-09-30 17:28:21
1
Princess 🥰😊😜 :
S.A.W 😭
2026-10-01 00:08:07
0
user4930288362908 :
subhanaAllah
2026-10-01 02:56:29
0
mr.deco :
Allah akibaro sallaallahu alleeyhi waassallaam
2026-09-30 23:05:19
0
abduli :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-09-30 16:43:18
1
Devraj :
mungu atusamee
2026-09-30 20:55:07
0
Brkante13 :
Allah atujaliye mwisho mwema ameen
2026-09-30 20:54:30
0
Good_Guidance_ :
subhanallah
2026-09-30 20:58:08
0
Fatma🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇨🇩 :
ALLAH AKBAR
2026-09-30 20:31:53
1
MOST WANTED 45 🎮 :
Mansoor 😭😭😭
2026-10-01 03:27:14
1
Chande surey :
Subhanallah
2026-10-01 03:26:28
1
maalim suleiman :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-30 15:25:14
1
Hamiss gotta :
💔💔💔
2026-10-01 03:18:24
0
🍀🌿 Dogo mionz🌿🍀 :
🙏🙏🙏
2026-09-30 20:38:08
1
hussein p🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
😢😢😢
2026-09-30 17:08:10
0
🍀🌿 Dogo mionz🌿🍀 :
❤️❤️❤️
2026-09-30 20:39:25
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.