oy, ukiweka inafunction mwanetu tusije tukatest tukashusha engine.🤔🤔🤔🤔
2026-10-02 05:53:27
7
richard kipulu :
nilikua nawambia mnapinga kigoma tunajitegemea kwakila kitu asa mmeona [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-01 18:22:25
22
B👤 :
baada ya mda mfupi
2026-10-01 17:42:10
16
DavidsonCovidTheMechanic🚘🛠️ :
10W-30[Laugh approved]
2026-10-01 17:13:14
0
Jonas :
Yani mzunguko unaopatikana hapo hata BMW haifati moto🔥🔥
2026-10-01 20:16:32
8
kakachone :
oil number ngapi hiyo😁
2026-10-02 10:06:33
1
Wilson chaniko :
ama byeseeee
2026-10-01 23:53:53
1
Africa as one :
tukiwambia kigoma kuna kila kitu mnabishaa
2026-10-01 20:37:49
2
MR.KIGOMA@ :
oili imepanda bei wakigoma tujivunie oil yetu inayoitwa mawese💥💥
2026-10-02 06:50:20
1
maneje25 :
KIGOMA shikamoooo!! kigoma is beyond normal sense 🥰
2026-10-01 19:27:45
0
Dickison Samson :
iyo ndo kigoma tuna hadi oili yetu 😂😂😂😂
2026-10-02 05:42:35
0
,Jack,star :
nitajalibu
2026-10-02 05:47:26
0
jamali :
kigoma moj hiy ten kasuluu
2026-10-01 17:59:16
0
RomCare Tanzania Tours :
5W-30
2026-10-02 08:22:07
0
Haidar Rashidy :
wese ilo
2026-10-01 19:31:53
0
nestory star chituntu :
mbinu mpya
2026-10-01 20:16:19
0
Mayele :
daaaaaaaa
2026-10-01 17:21:51
0
side boy :
nakubali mwamba😆😆😆😆😆😆😆
2026-09-30 15:10:16
0
yessemjeshi :
😁😁hata mchna mwenyewe akiona anakimbia.
2026-10-01 16:27:13
2
Alex_classicbike :
hi ni nini anaweka jaman sija elew 😅
2026-10-02 04:09:58
0
Moraka :
Mimi hata sishangai kwani kabla ya ugunduzi wa Oil za kawaida (petroleum oils) watu walikuwa wakitumia mawese na mafuta mengine mfano mafuta ya nazi nk, kama vilainishi katika mitambo. (Lubricants for machineries). Shida ya hayo mawese yameganda, inatakiwa atumie mawese yasiyoganda (yale mekundu).
2026-10-02 09:52:02
0
Frère Barack Edmo :
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😂
2026-10-01 13:36:03
0
MOTO ÐÌFENDER🚭3️⃣2️⃣ :
kigoma🙌🙌🔥🔥
2026-10-01 17:33:00
0
LUXFORD :
ay mawese au?
2026-10-01 14:44:52
2
To see more videos from user @akili580, please go to the Tikwm
homepage.