hiyo naelewa najua mpaka shetani anaweza ingia kanisa ju watu wengi huwa wanajificha kanisani ndio maana siendangi kanisani
niulize kwa nini siendangi kanisani
2026-10-14 23:05:45
1
Ibraah Aman🇹🇿 :
Kweli mama upo sahihi kuna baadhi ya nyimbo za injiri hazina utukufu
2026-10-01 09:53:08
13
JÉSUS CHRIST REVIENS BIENTÔT :
YESU APEWE SIFA KWAUJUMBE
2026-09-30 18:26:43
10
Jacob Mukoya :
kweli kabisa mtumishi mungu akusaidie sana uendelee kutufunulia ukweli
2026-10-12 11:08:06
1
I BELIEVE IN GOD🙏 :
you're very right ✅️, thank you so much be blessed 🙌🏻 my blood ❤️sis
2026-09-30 18:55:15
5
Priska Richard Precious :
nikwer mama yangu ubarikiwe kwakutukumbusha mungu atusaidie
2026-09-30 16:51:50
11
leah :
Amina Mam niukweli kabisa
2026-10-12 19:18:11
2
Gee cute🦋💯 :
ni kweli kabisa roho mtakatifu tusaidie kutuonesha nyimbo sahihi zinazomtukuza mungu 🙏🙏
2026-10-01 15:48:10
4
ange 🙏🇨🇩 :
mungu atu saidiye sana🙏🙏🙌
2026-09-30 17:02:29
6
IMANI MSHINDI :
yes mama wale wa jicho la rohoni wataelewa hii🙏🙏🙏
2026-10-02 23:43:41
3
Haika Elia :
maana unakuta mtu anaimba nyimbo ambayo haimkuzi mtu kiroho yaana haieleweki wanaimba mafanikio tuu
2026-10-12 09:59:46
2
Noella kahindo Noella :
amen 👏👏👏 mungu atusaidiye
2026-09-30 16:54:54
5
karawe haile :
amina
2026-10-02 10:00:38
2
Team TK :
Roho Mtakatifu atusaidie tuzitambue nyimbo zisizomtukuza Mungu wetu
2026-10-03 10:43:02
2
Oliva :
amen
2026-10-04 09:44:06
1
Omben Edward :
Amina 🙏
2026-09-30 16:17:28
2
mgalatia Emmanuel :
mama mungu anakutumia kwa viwango vya juu sana imenibidi nikague Kila nyimbo nimugundua nyingi ni za vijembe ata yesu atajwi
2026-09-30 17:49:27
5
evodia :
kwel kabsa nutumish
2026-10-11 21:21:58
1
Harby Jackson :
MUNGU Atuongezeye Imani na hakili sababu tunafika pabaya
2026-10-01 20:55:19
2
euniczqltrk :
heri niskize za fanuel Zedekiah
2026-10-01 09:14:27
4
Dadadinah :
bora mm mwenywe nikiimb kwa kinywa changu namtukuza mungu
2026-10-01 09:32:56
3
doryW :
kwa kweli me mwenyewe nimekwisha kushutukia jamani
2026-10-01 10:44:29
2
user7783631508428 :
nikweli sana hizi nyimbo ziko mbaya hazina nguvu za mungu tena umeshaona maman
2026-10-07 03:23:57
1
To see more videos from user @immaculateconsolata, please go to the Tikwm
homepage.