@mjumbewahaki77: KUELEKEA HUKUMU YA TUNDU LISSU: ASKOFU MWANAMAPINDUZI ALIKUWA MBELE YA MUDA‼️ Mwaka 2025, baada ya Tundu Lissu kushinda nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, aliandaa tafrija ya shukrani nyumbani kwao Mahambe, Ikungi, Mkoani Singida. Hafla hiyo ilihudhuriwa na viongozi wa chama, wanachama, viongozi wa dini na wananchi. Katika hafla hiyo, Askofu Mwanamapinduzi, Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Itilima na rafiki wa karibu wa Mhe. Tundu Lissu, aliongoza maelfu ya watu kumuombea na kumtia nguvu kwa ajili ya majukumu yaliyokuwa mbele yake. Kilichotamkwa na Askofu Mwanamapinduzi wakati huo leo kinaonekana kuwa na uzito wa pekee, kutokana na mazingira ambayo Mhe. Lissu anakabiliana nayo. Biblia inasema katika Mathayo 27:19 kwamba mke wa Pilato, akiwa na hofu juu ya hukumu iliyokuwa mbele yake, alimtumia ujumbe: “Usiwe na neno na mtu huyu mwenye haki; kwa sababu nimeteswa mengi leo katika ndoto kwa ajili yake.” Ujumbe huu unatukumbusha kwamba kabla ya hukumu, kuna nafasi ya kutafakari, kusikiliza na kutenda kwa hekima. Tunapoelekea tarehe 6 Oktoba 2026, ambayo imepangwa kuwa siku ya hukumu katika shauri linalomhusu Tundu Lissu, tunamuombea na kumtumainia Mungu kwa ajili ya haki, hekima na utulivu. Mungu amsimamie Tundu Lissu katika kipindi hiki. Mungu awasimamie wote wanaopitia nyakati ngumu kwa ajili ya haki na kutetea wengine. Watumishi wa Mungu wa kweli (wasio machawa) wana mchango mkubwa sana katika maisha ya watu, hasa nyakati ambazo nguvu zinahitajika zaidi. Je, wewe unaye Mtumishi wa Mungu wa kweli ambaye anaweza kusimama pamoja nawe wakati wa shida, akakutia nguvu na kukusaidia kusimama imara? Tafakari. Chukua hatua. Mungu awabariki Watumishi wa Mungu wa kweli wote, popote pale walipo. Tunatambua mchango wenu. 🙏🙏#hakihuinuataifa @Askofu Mwanamapinduzi

Wajumbe wa Haki TZ🇹🇿
Wajumbe wa Haki TZ🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 15:52:46 GMT
60168
3981
242
169

Music

Download

Comments

dor27780
Dor :
Ameen kwa jina la Yesuu
2026-10-01 06:40:36
16
avelina.deogaratia
Avelina Deogaratias :
tumuombee shuja wetu
2026-11-07 18:01:22
1
user9036581071016
YUSTINA#@ :
IMEKUWA KWAJINA LA YESU,MUNGU AWEZI KUNYAMAZA KAMWE
2026-11-05 13:41:42
7
mwanamateka
G47 :
#amen
2026-11-06 05:12:00
1
isabellahrenard
Isabellah Renard :
Amina baba yangu
2026-10-01 06:46:42
4
musampopatrick
musampopatrick :
Amina
2026-10-01 05:09:18
3
user820698779216
Agrey ndimbwa :
mungu wa mbinguni tazama hiri
2026-10-01 13:25:40
4
user4397816952929
user4397816952929 :
MUNGU ndo ana hatima ya lixu
2026-10-01 13:08:38
6
boazbisendo
Boazbise :
Aamen
2026-10-01 05:33:19
2
user3451478624635
Samuel Mollel :
ameen ameen
2026-10-01 23:37:10
1
ramatz06
ramatz :
Ameniiii
2026-10-02 14:02:06
1
pmc7812
PMC :
Amina
2026-10-01 05:37:10
3
user7813632674522
Magita :
amina
2026-10-01 06:10:06
2
user5867188832078
user5867188832078 :
Amen
2026-10-01 12:54:26
1
user3809380602745
user3809380602745 :
Amina
2026-10-01 12:51:11
1
rosemollah960
Rose Mollah :
Amina
2026-09-30 22:40:33
1
bright.elias8
Bright Elias :
amen
2026-10-01 06:12:44
1
neemamsemwa2
neemamsemwa261 :
Amina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-01 04:44:15
1
user5688267000350
festo Ndimgwango :
mungu akikubalki hakuna wakukugusa amina
2026-10-01 07:50:29
8
seth56870
seth :
Mungu wewe ni mwingi wa huruma
2026-11-06 07:11:27
2
kampala.tz3
Kampala Tz :
NDIOMANA WANAMSHINDWA KUMBE ALIOMBEWA
2026-11-06 16:51:28
1
mzamiruzabasaja
Mzamiru Zabasaja :
aamina
2026-09-30 19:08:41
2
abdallah.mpawa
Abdallah Mpawa :
aaamen 🙏🙏🙏
2026-10-01 06:36:28
2
evelada2
evelada :
amina mtumishi
2026-10-01 05:50:06
2
janethmaswanya
janethmaswanya :
Mungu atafanya kwa jina lake amina
2026-10-02 03:18:29
3
To see more videos from user @mjumbewahaki77, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About