imenifanya nifurah adi nisahau stress Kam nimeachwa Leo mchana😬😬😂
2026-09-30 21:11:24
158
Jastin Chaula dreva Bajaj 47💕 :
[Tears of joy][Tears of joy]boda anazingua mwambie akusukume hadi aliko zai🤣🤣🤣🤣
2026-10-02 06:04:37
0
Pendo outfits store :
huruma sio malezi [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-01 06:17:18
26
____Gifted____.🦋🌸 :
Nifikishe nyumban acha maneno rasta
2026-09-30 20:16:44
110
zuuh money :
Hii nimeipenda
2026-09-30 16:57:19
82
Sherises🌸 :
Sanene io😂😂😂 nyumban kabsa
2026-10-01 07:07:19
3
Jackiee🥰🥰😍🤩 :
[Tears of joy]
2026-10-01 07:20:18
0
Ava :
I need African friends ☺️
2026-10-01 07:19:11
33
mustaphaomary313 :
USinilaum ax
2026-10-01 09:50:52
0
Pili Selemani :
ulikuwa na uwezo wa kupita shel kabla hujanipakia mm 🤣🤣🤣 ila dad zai ajambo
2026-10-01 10:41:45
27
Agness makuli♥️♥️ :
Me namtafuta camera man simuon🤣
2026-10-01 05:11:32
0
petronila :
boda mmezid 🤣🤣
2026-09-30 18:00:14
16
Jésus vivifie🙏 :
kumbe huruma sio malezi naamini
2026-10-01 06:33:51
8
Miss Mary ♥️🎀 :
Moja Kwa moja mpaka Kwa boda wa dada angu😂😂😂
2026-09-30 19:24:23
31
Ifer trends 🛍️ :
Iyo tusaidiane tusaidiane ndio wanakimbilia
2026-10-01 07:16:03
9
Mary mamuu :
ndo walivyo hao
2026-10-01 08:19:34
7
Hafsa Ally :
haina noma😅😅
2026-09-30 22:19:17
3
It’s Happy🫂🎀 :
Tulio wai shushw katikat ya safar na 2kalip kiroh saf tujuan
2026-10-01 06:51:07
21
witnessmwasasunda6 :
aibu naona mimi
2026-09-30 17:04:50
19
baby tatiana💥😘 :
boda anapitia eka eka uyu jmn
2026-10-01 04:10:28
5
elf kumi 123 :
boda boda tunaimani sana wazee apo jamaa kapiga hesabu zake apa nikipata ef 15000 sh.10000 natia mafuta sh.5000 nafosi na nyingine nipate kipande,kula,akiba,kodi bado family nyumbani wazee kijijini Mungu atusaidie boda boda lizki yetu ni ngumu lakini kwa uwezo wa Mungu tunaendelea kufanya kazi kwa bidii na uaminifu mkubwa 🫡🫡🫡
2026-10-01 05:13:23
10
ley :
Nimecheka kwa sauti
2026-09-30 18:17:23
5
user8006923081416 :
kaka hauna uruma kweli
2026-09-30 18:51:51
5
G 💋💞💞 :
hata mimi sitashuka tena nisukume ila aibu naona mimi mme wangu njoo na nikusukume 😂😂😂😂😂
2026-09-30 18:15:35
6
ROSE 🌹🦋🇹🇿 :
Kun watu wako na roh mbay😂
2026-10-01 15:29:37
4
To see more videos from user @piannotz, please go to the Tikwm
homepage.