kwaio tufanyaje sasa 🥹tufe tu tusinywe dawa tukiumwa
2026-10-01 03:58:28
8
ms_money00 :
As far as I know; KUNA GENERIC NAMES AND BRAND NAMES OF DRUGS also kuna dawa ambazo zina COMBINATION OF MORE THAN ONE DRUG na nyngne ziko SELF (only 1 drug ) 🙂
2026-10-01 06:51:34
2
chichi😘 :
kuna kipindi fulan macho yalikuwa yananiwasha nikaenda kununua dawa ya macho nikaelezea kuwa macho yanawasha nikifikicha yanauma nikapewa kuja kuweka asubuh naamka sioni nilikaa siku 14ndo nikaanza kuona kumbe dawa niliopewa ni kwa wale waliofanyiwa oparation ya jicho sasa huwekwa ili wasiweze kuchezea sm au kuangalia sana
2026-09-30 23:10:46
8
APM :
ASILIMIA MIA NI KWELI
2026-09-30 18:03:03
17
paschal Ezra 💫💫 :
dah ukiachan na maduka ya dawa niliend zahanati dokta akanipim majibu niliyopewa yaan siumw akanipa dawa na akaniambia nilipie 12k nilivyomaliza dozi nikaenda ten maan bado nilikuw najisikia vibay kufik akanipa dawa Tena akaniambia nilipie ten 3k nikajiuliz mbn Kam wanafanya biashara cy kusaidia watu
2026-09-30 18:24:26
8
Zizu :
pharmacy si sehem ya matibabu,coz haina vipimo vya kuthibitisha ugonjwa ulio nao.na ndio maana inatakiwa uende hospital update matibabu na kama kuna dawa muhim na hospital haipo utapewa priscription utaifata Pharmacy.shida ni kuifanya pharmacy ni hospital
2026-10-01 15:35:38
0
user7110023581114 :
Content nzuri asante kwa Elimu nzuri kupitia mchina.
2026-09-30 17:52:59
18
Gaudensi Shayo :
ata hospital ni hivyo hivyo tu
2026-09-30 17:33:47
7
Ukweli Mchungu :
Broo unatoa Elimu adhimu sana angalia wasikuteke
ila next video nitag
2026-09-30 17:06:46
7
laurasangawe❤ :
Tena saiv unapima malaria doctor anakwambia kachukue daw ni bure ukifika dirisha la dawa unauziwa
2026-10-01 03:57:09
3
joë t :
Kiufupi w2 wanatamaa tu ata ukienda hospital utapimwa vipimo vingi tu ilimradi hela itembee tu wakati ashajua jinsi maelezo ya mgonjwa ashaeleza anavyoumwa ila hospital zetu pesa tu
2026-10-01 11:11:58
3
Thomas Manyika :
sisi bado tupo kubishana habari za din
2026-09-30 20:01:06
3
MR DEE OUTFIT :
naitaji kitabu
2026-09-30 17:22:10
6
MDOE_LAVIVA :
kweli sehemu niipewa sonadem na skiderm nikacheka saana naikwambie kuna IA sikuuzi hizi si zinafanya kaaazi moja nipe moja ambayo ni best akacheka akesema chukuwa skimderm bro upo makin saaaaaana
2026-09-30 18:50:40
5
NUNUA MALL🇹🇿 :
Asante sana mkuu
2026-09-30 17:56:16
4
tariq :
@tariq:hata wizara yetu ya afya kila siku hutukumbusha wanachi kuwa ni vizur kupima kwanza kabla haujachukua hatua ya kununua dawa phamarcy na kumeza
2026-10-01 05:53:29
2
BLACK✝WOLF🐺 :
mimi uyomchina wako sijawai kumuelewa
2026-09-30 20:19:51
2
Moddy Mdau :
umesema ukweli
2026-09-30 17:42:31
3
mudyi muzungu :
wanakudanganya
2026-09-30 18:33:34
2
Comboo kibosho :
Audio aifunguk😌
2026-09-30 17:52:08
3
Kadinalikatto :
Kwel kabsaa ata sio uongo
2026-09-30 17:21:38
3
Hilda🥰🥰 :
dawa zinatofautiana majina lakini inaweza kufanya kazi 1
2026-10-01 05:29:31
1
Domingoz :
mchina wako ana utu mno
2026-09-30 23:33:26
1
To see more videos from user @donrugi, please go to the Tikwm
homepage.