@hubofwisdom.inc: "Watu wanakuchangia ili waweke akiba ya kesho, siku wakiwa na jambo lao na wewe uwalipe. Sio kila anayekuchangia ni kwasababu anakupenda. Hayo ni madeni sio fursa." Ushauri wa huo unatolewa kwa vijana "Harusi sio dharura, lisiwe jambo la kushtukiza. Waache watu wakuchangie kile wanachoweza na wasipokuchangia ni hiari yao, sio lazima." ---- @hubofwisdom.inc #Thewisetz