@dcea_tanzania: Kamishna Jenerali wa DCEA amewataka wamiliki na waendeshaji wa vyombo vya usafiri kuimarisha udhibiti wa mizigo, ukaguzi wa vyombo vyao na usimamizi wa wafanyakazi ili kuzuia usafirishaji wa dawa za kulevya. Una taarifa? Piga 119. #DCEA #KataaDawaZaKulevya #UsafiriSalama #ToaTaarifa #Tanzania

Official DCEA Tanzania
Official DCEA Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 16:49:48 GMT
8040
179
2
10

Music

Download

Comments

hussein.adolf
Hussein Adolf :
kwann mkiwakamata mnawapiga paka watu wanazimia wanashindwa kutembea
2026-10-06 21:09:55
2
deogratius.mzalia
Ayatollah :
Kamishna tatizo ni wewe unalinda baadhi ya wauzaji wa dawa
2026-10-21 11:47:42
0
To see more videos from user @dcea_tanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About