nina ushahidi wa hilo nengekuwa kwenye ndoa labda nisenge fika Dubai
2026-10-01 11:51:59
6
NAJMA ABDALLAH :
NILIVO UMIZWA NA KUNYA NGANYWA MAHARII NGUOO ZA SANDUKUU HADI NGUOO ALIZO NINUNULIA AMENI POKONYAA NIMEONDOKA KWAKEE MWEUPEEEE NAMINI ALLAH ATANIPA SEHEM YA UTULIVU MBELENII IWE DUNIANI IWEEE AKHERAA MIMI KUNIACHA TALAKA 1 MAHARI YANGU KAOLEA MKEE MWENGINEE NA VILEE WALIVOO NIPOKONYA WAMEMPA MKEE UYOOO ILAA ROHOO YANGU BADOO HAIJAWA NA RIZAA MPAKA MBELE YA ALLAH MIMI KUNIOWA IWE BUREE HAPANA WOOTEEE WALIO NIKOSEA NIMEWASEMEE ILAA SO FAMILIA YA MUMEE AMBAEE WAMENIZULUU ZIDI MUMEEEE MANA MIMI KANIPA TALAKAA KWA ALIPO AMUA YEYE
2026-10-01 14:36:28
2
UNSTOPPABLE HUSTLER 😎🇹🇿🇦🇪 :
huyu Nd sheikh ambae nimemuelewa sas🌹🌹🙏
2026-09-30 19:03:03
10
Ayaan :
Mimi nita teseka kwa hiii dunia nikiichwaaa nahawa watoto wooote
2026-10-01 19:08:39
0
Ashfainat :
assalam alaykum shehe miyenaomba kuulidha hivi mume akimwambiya nduguyake muandikiye huyu talaka zake zote vp inakuwa imesihi hata km hajaandika
2026-10-01 13:11:44
1
Hijat signature :
Wengne wanazungusha maneno tu 😂😂😂
2026-10-01 04:15:57
3
zainabjumaa448 :
alhamdulillah baada ya kutoka naisha vizr na wanangu ALLAH hajawahi ni laza njaa alhamdulillah
2026-10-01 12:21:10
1
nargis collection :
subhanaAllah kweli kabisa ameen inshaAllah
2026-10-01 07:03:20
1
Fatya Said :
shukran
2026-10-01 18:12:03
0
user4316161075217 :
Allah akulipe kwa ufafanuzi
2026-10-01 16:54:31
0
ummy :
Alhamdulilah Allah ananitoshekeza kwa kila kitu yeye ndie muweza wa kila jambo
2026-10-02 07:24:40
0
mwadjuma kombo :
kweli kbs
2026-10-01 03:59:22
0
Nahya Ahmadi :
Asante kwa ufafanuzi huu
2026-10-01 03:57:24
0
baby_nana :
nimeelewa
2026-10-01 18:05:41
0
ummumwinyi🥰😍 :
amiin
2026-09-30 20:04:58
0
mamu :
AMIIIN
2026-09-30 19:42:52
0
ukhty sumayyah :
😭
2026-09-30 21:49:52
0
Hajoo :
kweli kabissa akhui maneno ya kweli kabissa 👌sikuhizi ukiachwa unakuwa ni mwanamke nuksi,kisrani kwa familia na unaonekana duni sana😢😢
2026-09-30 19:22:46
4
Aboubakr Abdalla Alzubeid :
Na wengine ndo mlango wa jongomeo hufunguliwa
2026-10-01 17:21:34
1
user3995632144801 :
💞💞💞
2026-09-30 18:36:48
0
ALI KANUMBAZ :
🥰🥰🥰
2026-09-30 17:36:15
0
To see more videos from user @sekundezaelimu, please go to the Tikwm
homepage.