@5star_newstz: An American Airlines flight aborted takeoff after a tire burst and the brakes caught fire. All 173 passengers evacuated safely, though some were seen carrying their bags. ------------------------------------- Ndege ya American Airlines ilikumbwa na dharura wakati ikiwa kwenye hatua za kuanza kuruka katika Uwanja wa Ndege wa Denver, Marekani, baada ya tairi moja kupasuka na breki kushika moto. Kutokana na hali hiyo, emergency slides zilifunguliwa na abiria 173 wakatoka kwenye ndege kwa usalama. Hakuna kifo kilichoripotiwa. Hata hivyo, video za tukio hilo zilizosambaa mtandaoni zimeonyesha baadhi ya abiria wakitumia emergency slides huku wakiwa wamebeba mizigo yao. Ukiwa kwenye dharura kama hii, ungeacha begi lako ndani ya ndege au ungeliondoka nalo? Dondosha comment . #Updates #5starNewstz

5star NewsTz
5star NewsTz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 17:28:38 GMT
21651
244
9
19

Music

Download

Comments

faridaah..ally
💞Faah🥰🫀 :
wabongo tungeruka hadi madirishan🤣
2026-09-30 18:45:24
6
heppyness.daniely
heppyness Daniely :
apo ilikuwa angani aw chini
2026-09-30 18:51:50
1
azizayussuf26gmai
azeyza🌹 :
wapi hii.. subhanallah
2026-09-30 18:38:05
1
user50341204079125
resty :
🥺🥺🥺
2026-09-30 18:35:15
1
grace25147
Grace :
subhanna Allah, Allah Aqbar 🤲🤲🤲
2026-09-30 19:59:27
0
dorahzulu5
dorah Zulu :
ah sa kumbe tairi tu siwabaki jamani kwani silijajazwa tu
2026-09-30 19:56:43
0
siyasdream
siya's dream ✨️ :
yani picha linanza iyo said yenyewe ingekua ishapasuka af watu apo wange shuka na mguu tu af badae wangejiuloza wamekanyagaje😁
2026-09-30 19:22:34
1
ashdachaafricas
DACHA SINGELIIIIII MUSIC :
yani wangekua wabongo madirishaani😅😅😅😅😅😅😅
2026-09-30 19:01:59
0
mrsbee2004
MR'S BEE :
yani unapata.kabs nguvu ya kuslide khaaa nyie hatari mi.hapo napita na miguu... 😂😂
2026-09-30 19:14:56
0
user6879344598754
zainabu husseni :
nimeshindwa kujiziwia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-30 18:46:50
0
tumaka61
SALHAT VIPODOZI TZ 🇹🇿 :
😭😭😭
2026-09-30 18:32:44
0
user1463631049514
saf!🥰🥰 :
😳😳😳
2026-09-30 18:53:13
0
To see more videos from user @5star_newstz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About