@ali_wisdom: Ukitaka kujua ni nani anayestahili kuumiliki moyo wako, mtazame yule anayelinda amani na furaha yako kana kwamba ni yake mwenyewe...Kwa sababu moyo hautekwa na maneno matamu pekee, bali na mtu anayejali hisia zako, anayekuheshimu, anayelinda tabasamu lako, na anayethamini uwepo wako hata katika nyakati ambazo si rahisi..Upendo wa kweli hauzungumzwi tu… unaonekana katika namna mtu anavyokutendea. #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou