walai its true jana nmebuy hiyo fake after kutumia ndio nilinotice ..ikona chocolate flavour ndani😭
2026-09-30 19:37:29
3
😻😻Adhiambo❤️😻😻 :
na iyo ingine pretty white original
2026-09-30 23:52:14
1
Nails and Beyond Waiyaki way :
hatuoni juu ya maadishi umeandika
2026-09-30 20:25:52
8
Elda Tindoe :
where did l get original dia
2026-10-03 19:21:37
1
user5688810574768 :
hii sasa ni gani
2026-10-01 05:13:12
0
EXOTIC COSMETICS & PERFUMES :
Angels is the original one Dream ni copy though kuna Angels original ya kinsasha na fake ya kariobangi same to Dream kuna ya Codivore na ya kariobangi...
2026-10-02 16:48:52
0
Ashepet moreen :
Thanks sweetheart
2026-09-30 19:50:24
2
..diddie_she :
mi cjui nitakufollow aje mara mbili😔🤭....
2026-10-03 18:33:25
2
only me :
cocopulb ndiogani😳😳😳
2026-10-01 05:37:26
0
Achibella :
kitu imenifurahisha ni ety unaongea nikicompare na yangu,thankyu very much kama Kuna mtu umesaindia ni Mimi nimepata yangu ni original 👌
2026-10-01 08:43:55
1
mamake🥰🥰🥰 :
kumbe yangu n fake do maana nilijipaka uso ikaharibika🥲🥲🥲
2026-10-01 20:05:05
1
Miss mwema :
umejua aje qualifications za iyo fake na iyo original