huku tutasonga Kama tulvyopita kwenye corona,Muumba atatuvusha
2026-09-30 20:19:51
290
🎀Gorgeous🤎✨ :
“Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.”
Zaburi 118 : 17 SRUV
2026-09-30 20:54:57
138
♧ ℓαรƭყ รɱเℓε シ ♧ :
hali ni mbaaaaya 🤣🤣🤣
2026-09-30 20:37:07
36
Ms Gemini❤️ :
Na hatutakufa kwa jina la Yesu
2026-09-30 21:12:31
49
Aaliyah :
Yani nipo groundfloor 😭😭
2026-09-30 21:25:30
0
SHUGALEAH👑🦁🌟🌞💸🧿 :
Mtajua wenyewe[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-30 21:25:46
0
Suz_makeovers :
tunakaa hatutakufa bali tutaish
2026-09-30 21:10:40
12
DR BEA25 🔵🩺 life style😇 :
You better watch your back 😂😂💔
2026-09-30 21:13:56
0
Elizabeth Frank :
hatutokufa kwa elininyo mimi na familia yangu mpaka uzao watumbolangu na watanzania kwa ujumla kwa imani tutaokoko kwenye hilo janga mana mngu wetu anaishi leo kesho na hata milele[Pray][Pray][Pray][Pray][Pray][Pray][Pray][Pray][Pray]🙏🙏🙏🙏
2026-09-30 21:07:29
12
👑⚜️𝑾𝑰𝑳𝑬𝑾𝑰𝑳𝑬12⚜️👑 :
kwamba tufe wote kwan ss n sisimizi au
2026-09-30 20:40:18
18
Ney makeup 💄 :
Snapchat gan umetumiaa uduguu
2026-09-30 21:07:10
0
David Yusuph :
Huku sisi toka mwezi wa 5 mpka leo wa 10 hakuna mvua yeyote 😂😂
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] et tutakufa wote
2026-09-30 20:25:31
1
LADDYNEY CATERING🇹🇿 :
kwisheni babujii😂🙌🏽🙌🏽
2026-09-30 20:46:36
6
Treciour Nick🦋 :
Tutajenga Safina bna tuache😁
2026-09-30 21:43:05
1
Hussein Ally :
location??
2026-09-30 20:34:11
0
rehema@94 :
ushindw mungu atatutetea
2026-09-30 20:22:02
5
zaynaah💗💞 :
mung atusaidie jamn
2026-09-30 19:27:50
7
MR LIQUIDITY📈 :
mtajua wenyewe
2026-09-30 21:42:22
2
CHORO 👑 :
atuwez kufa wote pia iyo hali aiwezi kutukuta kwa uwezo wa mungu
2026-09-30 21:21:37
3
Xoxo :
kaka Mimi nakwambia wewe Hakuna aliye na mamlaka juu ya uzima na kifo isipokuwa Mungu pekee. El Niño inaweza kuleta dhoruba, lakini hatima ya maisha yetu ipo mikononi mwa Muumba. Kwa jina la Yesu, sote tutavuka salama.🤝
2026-09-30 21:51:16
4
king of love 🫀🫀💍💍💎💎 :
kaka huku hatuta kufa kipindi cha korona hatujafa hata sasa hatuta kufa na tutakaa kwenye vinyumba vyetu Allaah you pamoja nasi
2026-09-30 21:38:57
3
Ghoston💀☠️ :
ije tuu 🤭🤭😂mm skupata Iphone October 29
2026-09-30 21:04:43
4
To see more videos from user @special_boy__og, please go to the Tikwm
homepage.