@james.elias67: 🔥 UJUMBE WA MWALIKO 📖 Ungependa kulijua Neno la Mungu kwa undani zaidi? Usikose nafasi hii ya DARASA LA BIBLIA BURE kupitia Zoom! 🙏🔥 ✨ Jifunze Biblia kwa pamoja, popote ulipo na wakati unaokufaa. ⏰ Muda wa kuanza: Chagua moja kati ya muda uliopo kwenye bango. 👉 Uko tayari kuanza? Andika “NIKO TAYARI”Pamoja na Namba yako ya Simu nami nitakutumia maelekezo ya kujiunga. 🔥 Neno la Mungu linaweza kubadilisha maisha yako. Usikose! 📖❤️

James Elias
James Elias
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 20:02:21 GMT
189
24
1
3

Music

Download

Comments

user8227675892017
Irene ushindi :
🥰🥰🥰🥰
2026-10-01 11:46:05
0
To see more videos from user @james.elias67, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About