mmetisha sana [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-01 16:50:52
1
Loveness dm 💞❤️🔥 :
mbona nikinyamwezi hiki au 😂
2026-10-01 06:32:23
7
user588800800101 :
mfano nguo tunaita ngobho au ngw'enda
2026-10-01 16:43:58
3
DEUS MBASSA :
𝐊𝐔𝐊𝐈𝐌𝐁𝐈𝐀 - 𝐆𝐇𝐎𝐏𝐄𝐋𝐀
2026-10-01 07:38:37
2
jeremiahjonson2 :
what about enyoo
2026-10-01 18:08:17
0
lgffumbuka :
Hiki ni Kidakama siyo Kisukuma. Dakama means South while Sukuma means North. Hata wimbo ni wa Kisukuma lakini kaimba Mdakama.
2026-10-01 16:00:33
1
Masele David :
elfu moja ni kihumbi kimo😁😁😁🥳🥳🥳🥳
2026-10-01 05:10:10
2
Naomi Joseph :
mengine umekosea
2026-10-01 07:07:15
1
mwafrika :
hako kawimbo ka kisumbwa 😊😊😊
2026-10-01 11:39:01
0
shurah :
Kwaio wimbo unamaana gani😁
2026-10-01 10:32:54
0
johnmajondokitulla :
Baridi- Lunyilu
2026-10-01 17:03:22
0
girlish :
Mbona kwetu Punda ni nzobe
2026-10-01 07:32:56
1
Cosmas Komba :
Nimeuliza kunakabila linaitwa mnyamwezi? na je magharibi kwa kisukuma huitwaje na je katika pande 4 za dunia yaani mashariki magharibi kaskazini na kusini ktk nchi yetu ama katika eneo la ukanda wa kabila la kisukuma Ng'helii ni wapi na nini maana ya whano wa ng'welii?
2026-10-01 04:58:19
0
prisl&carlin :
nguo ngwanda tena mmh wenda mimi sijui kisukuma myenda au wanyatunzu ghobho
2026-10-01 11:20:43
2
Ndelembi_Esq :
Kwamba mm sio msukuma mkuu? 🤣🤣🤣 na ujuaji wangu mbona nimeokota machache. Hiki kisukuma cha Simiyu nini 🤣🤣 Sisi wa Mwanza tukae pembeni kwanza
2026-10-01 08:01:35
0
asiya girl 🦋🦋 :
sio mbeho lonyeli ndo baridi mbeho ni kivuli
2026-10-01 10:11:20
1
SHUMBA 🇧🇼 :
safi kaka
2026-10-01 18:03:49
0
DEUS MBASSA :
𝐌𝐆𝐀𝐍𝐆𝐀 - 𝐍𝐒𝐔𝐌𝐔
2026-10-01 07:36:36
1
mwafrika :
runzewe pia ipo mkoan geita
na wanapatikana masumbwe na geita pia wapo
2026-10-01 18:41:59
0
Juliana Nkuba ( Mama Glory) :
jioni...mhende
2026-10-01 18:22:10
0
mwafrika :
wasumbwa ni kabila dogo linapatikana mkoan geita
2026-10-01 18:39:07
0
Saidi msiri Saidi :
kwenye JIONI umetupiga
2026-10-01 18:38:53
0
user588800800101 :
harafu elfu moja siyo kinumbi tunaita gehumbi
2026-10-01 16:45:34
2
Edward marco nyarobi :
2026-10-01 18:43:33
0
uncle jj decor :
mami😂
2026-10-01 08:45:34
0
To see more videos from user @missaboykibayu, please go to the Tikwm
homepage.