ndomn cm yangu nashikag mkononi man ndo naamin sehem salama zaid nikiwa kweny dala dala
2026-10-01 09:00:14
42
Faith Kee :
Ilinikuta hii mwaka juzi,kijana alikua anasinzia adi ananiangukia nikakereka na kuhama kiti Hee gafla usingizi ukamuisha akashuka kumbe hakua anasinzia alikua anakata pochi yangu na kiwembe ile naona nae anaishia 🙌🏾Nashukuru Mungu hakuiba kitu maana uo upande anachana kulikua na biblia yangu so hakufika kwenye wallet wala simu.
2026-10-01 04:56:47
57
Glow :
kuna na wale wa bodaboda ya kuchangia jamani🥹🥹
2026-10-01 11:41:10
9
black b :
mi waliondoka na laki 2yangu na mkoba nilikuwa nimeukumbatia.nafika kkoo nanunua vitu nataka nitoe hela nakutana natobo😭😭😭😭
2026-10-01 14:50:40
9
itslidyamwakalinga :
Sijui trusting issues au nini. Ila mimi huwa nipo hivi 😳😳 mda wote kama mlinzi wa raisi.
2026-10-01 14:39:19
16
Luxe by rynelle🛍️ :
Mbezi stand sitasahau walinichania wakachukua wallet🥲😂🙌🙌
2026-10-01 08:17:48
12
Suzie :
tunaoishi dar tunapitia mateso 😂😂😂😂akii sitasahau boda alivyo ipitia cm yangu sikion
2026-10-01 19:29:34
2
BRIMVINTAGECAPS :
hela na simu ni marufuku kukaa kwenye pochi😂😂😂
2026-10-01 09:05:20
7
Ms_mkundee💐 :
Mm imenitokea juzi jmoc pale mbezii stendi
2026-10-01 13:30:02
5
iam_allen :
duuuh pole
2026-10-01 17:16:47
0
@TearDrop :
sitaki kukumbuka lakini sikuibiwa 🤣
2026-10-01 17:51:36
0
shayz fashion :
ishanikuta kwenye magari ya mbezi asubuhi naenda kazini ni alichukua simu na laki yangu sitosahau nilivyoshindwa hata kufungua biashara nikarudi nyumbn kulala 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-01 12:48:31
2
maria Charles :
kimara baruri mda wa kupanda gari ya makumbusho dah sitasahau
2026-10-01 08:24:16
1
....♥️... :
ni mimi huyo tarehe 28/12/2025 na simu wakachukua mpaka leo safari ya mbagala naiheshimu sana.
2026-10-01 14:39:02
0
Julie🫧 :
Hiii ishanikuta kwenye mwendokas asubh nawah mthn kizur hela huwa nawka nyuma ya cm nimeshika mkonon ndo pona yangu sema calculator yangu hakuichukua 🥺🥺
2026-10-01 12:22:09
0
Davidfrancis :
daaah pole
2026-10-01 07:27:53
0
AbuiSameer :
ulilala au
2026-10-01 12:24:28
2
gyvah247 :
asanteni kwa kunipa code ni simu mkononi mkononi na simu poleni mlioibiwa simu wote
2026-10-01 21:27:57
1
mio mio :
hiyo ilinikuta mwenge stand sina ham mm jmn😂
2026-10-01 17:31:33
0
pindelicious :
yaan km mim🫣😞
2026-10-01 10:56:13
0
Licious🦋 :
😂😂😂Nimecheka kama mazuri hii kitu isikie kwa mtu🙌
2026-10-01 10:48:28
0
To see more videos from user @dadasite7, please go to the Tikwm
homepage.