@ramadhaniking1: #creatorsearchinsights #createaivideoontiktok #creatorsearchinsights #mvuakubwatanzania#tanzaniantiktok🇹🇿 jamani ina chukuwa watu

𝓡𝓪𝓶𝓪𝓭𝓱𝓪𝓷𝓲
𝓡𝓪𝓶𝓪𝓭𝓱𝓪𝓷𝓲
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 20:51:20 GMT
598790
18231
671
1004

Music

Download

Comments

hasanchamungwana1
mr.mpole classic :
duh polen san
2026-10-04 09:17:52
0
joelymajula
Joely Majula :
Never happen in our country
2026-10-04 19:31:55
1
hassanalawi100
baby Jerry🥰😜 :
ai[Laugh approved]
2026-10-05 14:55:55
0
user9200611532980
user9200611532980 :
pole yenu😭😭😭
2026-10-05 15:58:05
0
beatrice5102
beatrice jovinary :
Uzuri sasa hivi video za AI nazijua😁😁😁😁
2026-10-01 04:21:55
170
diana.paschal60
Diana Paschal :
wanao mwamin mungu tujuane
2026-10-05 11:35:22
28
bonge.kiboma
Sele buja :
duuuuuuuu
2026-10-04 22:07:58
0
zena.chuma8
zena chuma :
magomeni ya wap.iyoo achen kukuza mambo
2026-10-05 13:19:18
10
petermussamndeme
Peter Mussa Mndeme :
msiombee Mungu yupo pamoja nasi atatulinda
2026-10-01 08:16:27
56
agness_og
agness_ :
hakuna el Nino kwa jina la yesu
2026-10-03 10:31:33
41
user7901613744448
user7901613744448 :
matumiz mabaya ya AI☺️☺️
2026-10-03 17:43:41
14
user20466384865238
kisura :
Uongo mimi niko hapa jua linawaka balaa .🤣🤣🤣
2026-10-01 18:09:35
8
leniah.daughter
Leniah daughter :
Wenye D mbili. ndo wanaelewa Kwamb iyo n AI
2026-10-01 05:38:37
22
tumainilembrislai
madame laizer :
kwa damu ya yesuu hakitokeiii chchte ztanyesha za kawaida zenye faida na syo hasara
2026-10-02 19:33:32
14
rahelmushi278
Rahel Mushi :
iyo magomen ya nje
2026-10-01 13:07:50
6
alice.dephao
Alice lizzy :
magomeni ipi jamaa ninayoishi mimi amna
2026-10-03 10:29:07
6
janekadigi72
janekadigi72 :
niko Dar hakuna mvua iliyonyesha kwa sasa,ombeni Mungu
2026-10-02 08:17:50
9
saida.foum
Saida Foum :
Inaonekana watu wanaitaka iyo Alnino kwa hamu tutakuja kulia sie msifanye masihara kabisaaa
2026-10-01 09:56:02
9
magreth.mchafu
Magreth Mchafu :
mungu 2saidie sana najua huwezi ku2acha 2angamie
2026-10-01 08:46:16
5
shareefrashidy
Mrs g💞💞 :
tumuombe mungu jmn sio kupost mtandao kama hiv Kuna watu wanapreshaa
2026-10-02 13:53:18
6
zaylesh5
zaylesh :
uongo mm nakaa magomeni hakuna mvua iliyonyesha jmn..
2026-10-01 09:35:33
52
user6706584011946
user6706584011946 :
hakika enyi taifa la mungu Tanzania mungu nimwema atawanusulu hata katika mabaya yote
2026-10-01 17:53:44
8
sesmaster..silas
sesmaster® :
Hakuna elinino Bali Ni AI tu😂😂
2026-10-01 01:26:05
9
wakizuri2
wakizuri :
jamani embu acheni masihara na haya mambo sio kabisa
2026-10-01 04:19:54
10
rosengwavi771
rose :
mungu mwemaaa kwa kila jambooo atatusindia tyuuu
2026-10-01 03:21:13
9
To see more videos from user @ramadhaniking1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About