@gidetv_media: Ijumaa iliyopita waumini 15 wa Kanisa la Johane Masowe kutoka maeneo ya Mrehwa, Negomo na Domboshava nchini Zimbabwe, Marehemu Sir Wicknell Chivayo aliwazawadia magari mapya aina ya 2026 Toyota Fortuner 2.4 GD-6 kwa kutambua kujitolea na huduma yao katika Kanisa. Magari hayo yaligharimu jumla ya takribani Dola za Marekani milioni 1.2 (Tsh bilioni 3.16). Mbali na magari hayo, kila mmoja kati ya waumini hao 15 alipokea pia Dola 5,000 taslimu (Tsh milioni 13.2) kama zawadi ya kuthamini mchango na huduma yao kwa Kanisa. #gidetv #viralvideo #trending #newstoday #zimbabwe
watu wema huwa hawakai mda mrefu duniani duuu mungu awapumzishe roho zenu
2026-10-01 10:23:40
13
frank mwazembe :
alijuua
2026-10-01 07:18:43
8
chani :
CCM wajifunze hapo watched ubabe jamaaa kaacha vyote
2026-10-01 07:02:56
13
Waah💞 :
Ndo hivo kizuri hakidumu sku zote
2026-10-01 06:40:49
6
wa ibale og.9188775625610 :
God love kAongeza ukweli.
2026-10-01 08:43:10
4
Bekatonics Tz :
mwamba yupo vizuri
2026-10-01 04:31:20
4
Swahlathna Mwinyi :
mung awape pumziko jaman
2026-10-01 09:11:05
2
Bokajunior 356 :
KIFO HAKINA TAJIRI WALA MASKIN ISHI UISHIVYO UTAKUFA NAMM NITAKUFA
2026-10-01 08:46:18
3
k m tuyate :
mungu amuhagaziye wagawa milele
2026-10-01 14:48:28
1
ma shashuu :
innaliliah wainah ilaih rajiun
2026-10-01 18:16:11
0
shaz :
mtoza ushuru
2026-10-01 11:25:02
0
Victor Mero :
alikua anaomba toba ili aende salama kwa muumba wake
2026-10-01 21:29:06
0
Ladymam :
inalillah wainalillah laajuuni
poleni family
watu wema hawakai mda mlefu mungu awawalaze mahalipema peponi japowatu wanamsema pesa zake zamashart lakn roho yakutowa alikuwanayo alihamdulillah
Allah atupe mwisho mwema
2026-10-01 15:20:22
0
paulmagwila1 :
Duuuh
2026-10-01 08:46:24
1
dominatagabriel :
mungu atampokea Sawa sawa namatendo yake
2026-10-01 12:34:02
0
Aserd James :
Hata uwe bilionea chini utaenda tuu,hata uwe askali wa Tanzania uuwe wananchi nawe utakwenda tuuh,ila kikuwa ni kuomba mwisho mwema
2026-10-01 18:46:41
0
JAFARI BABAYU :
somo kwa wanaoona Dunia niyao
2026-10-01 10:02:27
0
Masanja darushi :
dah anaroho kama yangu mungu namimi nisaidie baba
2026-10-01 12:22:30
0
Mama jaja :
zilinipita chalice hizi mwezi wa nane mwaishon
2026-10-02 16:55:05
0
Monicca :
Jamn
2026-10-01 05:48:56
3
franciskarest :
Mungu awape pumziko la milele
2026-10-01 07:35:13
3
Oluwa 🙏 :
sadaka haikutosha mwizi huyo
2026-10-01 03:38:23
7
Malunde 255 :
Alijua ataenda kufa
2026-10-01 05:39:49
3
josephinejosepha3 :
kama vilitokana na bwana iwe ivyo
2026-10-01 06:51:09
2
Kp :
yaani aliiba nchi za watu alafu alikwenda kugawa kanisani?
2026-10-01 06:13:16
2
To see more videos from user @gidetv_media, please go to the Tikwm
homepage.