@ebm_electrical_company: KARIBU EBM ELECTRICAL INSTALLATION KWA KAZI ZOTE ZA MASWALA YA UMEME WA MAJUMBANI OFISINI HATA VIWANDANI (*EBM INAANGAZA DUNIA*) karibu ujionee maana ya kuanza na kumaliza na EBM 💥site visiting……DONE✅✅✅✅with EBM 💥circuit plan(design yote kwenye swala zima la umeme)……DONE✅✅✅with EBM 💥 copper pipe fittings(FOR AC)……DONE✅✅✅✅with EBM 💥wiring installation(nyumba nzima)…….DONE✅✅✅✅with EBM 💥air conditioning installation……DONE✅✅✅with EBM 💥CCTV cameras installation…..DONE✅✅✅with EBM 💥light and switch installation……DONE✅✅✅withEBM 💥television showcase and tv installation……DONE✅✅✅with EBM *BAADA YA VYOTE HVO HIVI NDIVYO JENGO LA MTEJA WETU LILIVOPENDEZA NA KUIANGAZA DUNIA HAKIKA NYUMBA NI UMEME KARIBUNI SANA TUWAFURAHISHE KAZI YA UHAKIKA MAFUNDI PIA WASOMI KABISA* Tupo dar es salaam mkoani pia tunafikaa *NB*:TUNAKIBALI KAMILI CHA MASWALA HAYA YA UMEME KUTOKA SERIKALINI SO UWE NA AMANI UKUTANAPO NASI 0672475628
nyumba yangu bado bati linanisumbua mwaka wa pili huu, kuna jirani yangu kaniomba sehemu yangu ya mbele halime mbogamboga, nimeamkatalia.
2026-10-13 14:44:22
4
momo Francis :
yooo haya mambo ni hatari snaa mi mjomba wangu nae alimweka mtu uwii alimloga akawa hataki kusikia kuna kitu kinaitwa sait alichukia kbs
2026-10-13 11:16:59
7
sweetessita :
BRO
BRO....
2026-10-12 12:27:24
0
Magdalena Patrick :
yaani ni shida jamani Dunia hii ni hatari hata ndugu tu anakugeuka
2026-10-13 06:31:06
4
Pamela :
ukimwacha mtu akulindie jengo lako ni vyema muandikishane kwa mda atakao ishi pale na mshaara utakao mlipa kwa wakati huo na uweke maombi mbele laa sivyo kitakuramba
2026-10-13 16:31:59
1
Secilia Kakwaya :
Tena jaman saiv nyumba kama haina mtu usifanye wiriling wanaiba nyaya za umeme yaan ukifanya wiriling hakikisha unaweka umeme faster vinginevyo kinakuramba wezi wanatoa nyaya zoote
2026-10-13 05:58:50
4
b52 :
nikweli
2026-10-13 12:04:38
2
sophiabakary509 :
mm Kuna mtu aliniambua weka mtu akulindie ety watakaa mashetan km hakuna mtu ndan mm nikajibu wache wake hao mashetan nikihamia wanaondok wenyewe 🤣🤣🤣
2026-10-13 06:38:59
3
dwayne :
that's my situation right now so nimfukuzaje maana namuonea aibu ni mjomba wangu wakuunga unga wa mbali Sanaa mtu tu wa kabila la mama namfukuzaje mkuu ujenzi umeisha lakini staki kabisa hata kwenda kabisa
2026-10-01 21:55:39
6
Zein Aklan :
Mm nilimuweka milizi nikasahau kama nina nyumba! Aliekuja kunishtua mdogo wangu, mpk nimemtoa nimechukua kazi sana baada kuanza kuendeea kujenga watu wakifukua wanakuata chungu ja herizi 😂😂😂 tena mlangoni kabisa
2026-10-13 12:30:53
2
user685667174347 :
Weee yalinikuta, tena nilikua nikiwasaidia matumizi na hata siku nyengine kulipia fee mtoto wao. Baadae hawakutaka kuondoka tuendelee na ujenzi ati hawana pa kwenda. Maombi yalifanya kazi na mzee wa mtaa pia.
2026-10-13 09:42:10
1
Nono :
Tena wasijaribu nimeweka mtu baada ya wiki nikapata kaela Nikaita mafundi wakaendelee na plasta oya mwanetu mlinzi kasepa na bati 14 chap na ata akuwahi lala 😳
2026-10-13 05:54:54
0
Mama la Mama :
mm yangu sikuweka mtu mpk nimehamia na majirani walikua wananishawishi kuweka mtu lkn nilikataa watu wabaya
2026-10-04 06:56:08
6
zaruna juma :
uwiii kimenilamba mimi
2026-10-01 11:00:00
1
edboy :
Asa kuna mda umepiga wireling dah lzm tu utafute mtu alinde
2026-10-02 00:46:56
4
Madonna :
jirani yangu walimuua
2026-10-01 14:12:58
0
꧁❀@COSMETICS_ZNZ❀꧂ :
kuna muda inabidi umuachie tu mtu ili akae akulindie otherwise wanakuibia
2026-10-02 06:03:27
3
jn :
bora uyo aliweza kumfukuza kuna wengine wanauliwaga kabisa
2026-10-01 02:57:20
0
E TECHNICAL SERVICES :
Nguvu kubwaa😁😁😁
2026-10-01 04:55:01
0
Ditram :
hii ndio dunia kaka
2026-10-01 05:25:36
0
syekiwaryoba :
hiyo ni kweli kabisa bro hiyo imemtokea jilani yangu hapa buswelu mwanza
2026-10-13 10:09:28
1
Isaya Fundi umeme 🔨 :
Duuuu kweli broo hayo yanatokea sana
2026-10-01 00:34:41
1
fane nchimbi :
mimi kilinikuta..Inabidi kumuomba sana Mungu,mimi nilitumia maji ya baraka.
2026-10-12 06:47:33
1
Dollar bills 💸🤗 :
kwangu nilikataa kabisa na hii ilinisaidia sana MUNGU ni Mwema sana 🥰❤️
2026-10-13 19:39:23
0
peace :
ni kosa kubwa mno watu wameishia kununua viwanja wakafa kumbe muhusika ni musimamizi wa eneo
2026-10-13 19:01:32
0
To see more videos from user @ebm_electrical_company, please go to the Tikwm
homepage.