@fefybofe: se ve bien preciosa wtff . . #fatimabosch #missuniverse #fyyypppppppppppppp #mexico #missuniversemexico

َ
َ
Open In TikTok:
Region: NI
Wednesday 30 September 2026 22:05:25 GMT
228211
37463
234
2443

Music

Download

Comments

zamarripalic
Paulo Zamarripa :
Tanto hombres como mujeres no vamos a soportar cuando tenga pareja 🥹
2026-10-01 03:56:01
824
ackermalik
Ackermalik :
ese video me dio mucha nostalgia, porque la sentí muy “ex miss universe” y casi lloro
2026-10-01 01:36:04
618
melimyerscas
Darked.Age :
Ay Fati siempre te he visto bien
2026-09-30 22:09:53
395
cryscstv
Crys⭐️ :
Está demasiado preciosa, y hay gente que le dice fea! Si a ella le dicen así que diran de nosotras las que si estamos feas JAJAJAJA
2026-10-01 02:04:48
228
fefybofe
َ :
nunca le tapen las pecas porfa
2026-09-30 22:11:18
55
davidcutguitar
David Cut :
cómo es posible que esté más bonita que antes 😭
2026-10-01 03:20:21
25
je_ron1_m0
🐜The Boy🐜 :
Y si votamos para que sea presidenta??
2026-10-01 02:57:08
22
velez.karen28
Karen Velez :
Nuestra reina de todo el universo 🥰
2026-10-01 00:52:50
20
monserrath.diaz76
Monserrath :
senti cosas de muyers
2026-09-30 23:29:56
41
fefyboshh
fefyboshh :
Que dolor no ser su mujer
2026-09-30 23:04:10
35
2bithero
un usuario de tiktok :
Te voy a amar toda la vida 🤧❤️
2026-10-01 01:30:18
11
marydamaldo
MaryDaMaldo :
Tan bonita ella
2026-10-01 02:35:06
12
mariangelruvalcab
mariangelruvalcab :
es realmente hermosaaaaaaa ✨
2026-10-01 01:09:27
11
vneeycbekfk
& :
Presiosisima
2026-10-01 03:28:38
9
soycarmenperegrino
CarmenPeregrino :
Amo amo amo !!! Que hermosiisisiima se veee!!!
2026-10-01 03:23:30
10
itzi_ojeda
🚬 :
Asi yo 😭💘
2026-10-01 03:07:11
7
schopeckart
mahd 🍂 :
Esa sonrisa enamora
2026-10-01 01:07:36
6
celi_mia2
mili_celi :
2026-10-01 00:49:08
8
alexanderclaros07
Alexander Claros :
Mi crush [Labios rojos]
2026-10-01 03:24:05
9
brad71898
Brad :
Bendiciones a nuestra representante. Arriba MÉXICO!!!
2026-10-01 03:00:22
10
plus7166
Junior M2005 :
ayy Dios ya vez por esta razones ya no quiero que me pongas tan caras bonitas Es hermosa si en pantalla es así no me quiero imaginar tenerla de frente 🙈🙈🙈🙈😻
2026-10-01 01:54:26
10
manuellopez5044
Manuel Lopez :
Llevamos 5 meses de novios, pero ella no lo sabe
2026-10-01 03:33:55
39
adrian.ochoa.escu
Adrian ochoa escudero :
mi sueño perfecto
2026-10-01 03:11:41
5
missuniverse.com
missuniverse.com :
2026-10-01 00:58:34
5
To see more videos from user @fefybofe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Waziri wa Ujenzi, Mhe. Masanja Kadogosa, amemuondoa Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Manyara, Mhandisi Dutu Masele, na kuelekeza kuteuliwa kwa Meneja mwingine kuchukua nafasi yake ili kuboresha usimamizi na kuongeza uwajibikaji katika utekelezaji wa miradi ya barabara mkoani humo. Aidha, Waziri Kadogosa ameelekeza kuondolewa kwa Mkuu wa Kitengo cha Matengenezo cha TANROADS mkoani humo kutokana na kushindwa kusimamia kwa karibu mkandarasi anayetekeleza kazi za ukarabati na matengenezo ya barabara ya Gehandu–Babati. Maelekezo hayo yametolewa wakati Waziri Kadogosa alipokuwa akikagua maendeleo ya ukarabati na matengenezo ya barabara hiyo inayotarajiwa kukamilika mwezi Januari, 2027, ambapo alieleza kutoridhishwa na kasi ndogo ya utekelezaji wa kazi licha ya fedha za mradi kuanza kupatikana tangu mwezi Agosti mwaka huu. Amesema si jambo la kuridhisha kuona barabara hiyo, ambayo ina umuhimu mkubwa kiuchumi na inayounganisha kanda tatu, ikiwa katika hali isiyoridhisha wakati Serikali imeendelea kutoa fedha kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha miundombinu ya barabara nchini. “Lazima nikiri ukweli kwamba kazi inayoonekana hapa haiendani na kasi iliyotakiwa. Kwa sababu hiyo, nimemrudisha Meneja wa TANROADS makao makuu na tutaleta mwingine. Serikali inatarajia kuona mabadiliko makubwa katika utekelezaji wa mradi huu,” amesisitiza Kadogosa. Vilevile, amemuagiza Mkurugenzi wa Barabara kutoka Wizara ya Ujenzi pamoja na Mkurugenzi wa Matengenezo kutoka TANROADS kufika mara moja mkoani Manyara ili kuongeza nguvu katika usimamizi wa kazi hizo na kuweka mikakati madhubuti ya kuharakisha ukarabati na matengenezo ya barabara hiyo. Ameelekeza pia kuwekwa kwa timu za wakandarasi katika maeneo yenye changamoto kubwa ili kuhakikisha kazi zinafanyika kwa kasi inayotakiwa na kukamilika kwa wakati, huku usimamizi na uwajibikaji vikiimarishwa. Waziri Kadogosa amesisitiza kuwa barabara hiyo ina umuhimu mkubwa kiuchumi kutokana na kupitisha takribani magari elfu nne na zaidi, hivyo kuchelewa kukamilisha matengenezo yake kunaathiri shughuli za usafirishaji na uchumi wa Mikoa mingi.

About