@millardayo_: #VIDEO Mtandao wa ZBC News Nchini Zimbabwe umeonesha video ya eneo ilikopata ajali Helikopta iliyokuwa imembeba Mfanyabiashara wa Zimbabwe Wicknell Chivayo na Mkewe Lucy ikielezwa kuwa walikuwa wakitoka kwenye Jumba lao la kifahari wanalojenga Kijijini kurudi nyumbani kwao Harare. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijatajwa lakini imeelezwa kuwa Helikopta hiyo ilipata ajali saa kumi na moja jioni ikiwa ni dakika 40 tangu ipae kutoka kwenye Kijiji walichokwenda ambapo Mamlaka zimesema ililipuka baada ya ajali na kusababisha miili ya Marehemu kutotambulika kwa urahisi kwenye eneo la tukio. Msemaji wa Familia ambaye amenukuliwa akisema waliofariki katika ajali hiyo ni Chivayo na Mkewe Lucy, hakutaja Watoto wao kama miongoni mwa Abiria wengine waliofariki. #MillardAyoUPDATES ( 📹 ZBC News )
GUYS SORRY HIVI KWAN KWENYE HELICOPTER HAMNAGA MAPARASHUTI JUST IN CASE OF ANYTHING AU IPOJE
2026-10-01 04:15:05
23
Joyce mrembo :
kweli pesa sio kila kitu MUNGU tu ndio kila kitu Asante mungu Kwa uhai huu wabure tupe maisha marefu sote tuliona hii cku yako ya Leo tukiwa na afya njema
2026-10-01 06:59:42
74
Rahma :
kila nafsi itaonja umauti, mwenyezi MUNGU atupe mwisho mwema
2026-10-01 02:15:17
69
kizu_touch_de_pro :
Wanatafuta saa au
2026-10-01 14:03:55
2
Hubert Kigwa :
Huyu jamaa ni nani?
Maana alikuwa anahusishwa kuwa karibu na viongozi wa Nchi nyingi za Africa haswa wakati wa kipindi cha uchaguzi.
2026-10-01 07:00:37
5
Âľľý Hüššëïń🗜 :
najiuliza kam gar ikipata ajari inapelekwa police na vip kuhusu hiyo chopa itaenda police au itarudishwa kiwandani?????🤷♂️
2026-10-01 07:18:22
2
Machulephotographer1 :
na bado yaliyo tokea October 29 kamwe ayata waacha salama MUNGU acha avune kwa wakati wake siwaliuwa ndugu zetu na kudhamini pesa na madaraka na kumtupa MUNGU kando THANK YOU LORD sito choka kuomba
2026-10-01 04:44:52
7
user2095119852938 :
itakuwa aliigilia mifumo ya watu wakampoteza
2026-10-01 08:02:01
1
user9668214903616 Joy Odash :
All is vanity 🤔
2026-10-01 09:57:53
1
🦋De Winner🦋 :
Kwani huyu ni nani kwa rais Samia wanaundugu au ni urafiki🥺🥺
2026-10-01 06:15:49
5
Belindah :
Mwenyezi Mungu ailaze roho zao mahali pema peponi 😭😭
2026-10-01 10:28:59
1
Joh :
sas mafundi watalipwa na nani!?😔
2026-10-01 07:08:54
2
Adassa Maria :
MUNGU ni nyime Kila kitu lakini uhaiii unipeee 🙏🙏
2026-10-01 07:40:26
4
idf tz :
juzi tu BBC walikuwa wanamzungumzia
2026-10-01 10:43:58
1
Valencia :
me nashindwa kuelew kwann watu wanasema pesa sio kila kitu kwan mtu akiwa na pesa ndo afi wala apati tatzo au yeye Amekuwa MUNGU
2026-10-01 13:33:45
2
Kobe traveler. :
Kwan davoo ajafa mbona siskii kabisa yeye akitajwa?
2026-10-01 08:19:44
2
Mohamed_07 :
ameen
2026-10-01 09:33:01
1
Jen✨ :
2026-10-01 04:30:07
2
Mary lips🍃🍀 :
daah family yote yaani hakuna wa kurithi aisee
2026-10-01 08:41:51
1
HEZBOLLA africa :
duniani tunapitatu siwezi shangaa
2026-10-01 04:50:50
4
dutch,p :
Imeisha hiyo
2026-10-01 05:07:18
1
Jonathan🫀💵🇹🇿 :
kwishaaaaah
2026-10-01 04:34:49
1
aiem justar😋 :
wanalia.wanacheka sielew😳
2026-10-01 05:16:11
1
Arsenal General :
That helicopter had some issues then
2026-10-01 06:10:09
1
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.