@budastan: penzi la buku😂😂#tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktoktanzania #

Budastan Og🇹🇿🏀🏀
Budastan Og🇹🇿🏀🏀
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 04:19:01 GMT
77159
1590
493
1457

Music

Download

Comments

user4196115219354
Ok :
Yanga wanajiamulia mambo
2026-10-01 08:01:50
61
user5946719063185
Mrs f%% :
wanachekesha kama sio ndugu zako😂😂
2026-10-01 14:29:20
26
edith.obby
Edith Obby :
Fyaaaaaaaaaa
2026-10-01 10:40:17
0
d..vibe14
D..Vibe❤️ :
kwn yanqa mnaxhda qan??
2026-10-01 15:38:21
1
melvin.09
M Mwamba :
jez ya yanga atal mpaka penz la buku 2
2026-10-01 15:14:24
1
judysmiling
judysmiling :
🤣🤣🤣ila shetani anapitia mengi
2026-10-01 09:09:18
12
salama2006.06
Salama :
tafadhali msidhalilishe nembo ya chama langu
2026-10-01 09:13:38
14
stephanonyamboto
Stephano Nyamboto :
mbona kama wanafanana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-01 13:50:03
2
user848103112
sirmejja🔞🔞💯 :
ila jeshi la akiba
2026-10-01 08:14:39
6
agpnmsr
myself :
ilaaaa hiiiii nchiiiiiiiiiiiiiii hapna
2026-10-01 13:30:30
1
dundo.jr0
Dundo jr :
ila wanaendana et eeee
2026-10-01 14:52:29
3
suzy.philipo3
Suzy Philipo❤️❤️ :
Malehemu haamini alicho kua anakisikia
2026-10-01 13:19:38
17
angelsmail673
Angel😇 :
kwahiyo ndo mmeamua tuanze mwezi oktobar ivoo🫴🥴🤣
2026-10-01 16:37:24
6
elmlawatu957
mlawatu :
kulikua na haja gan kuvaa jezi ya Yanga?
2026-10-01 14:11:29
8
boniphacmaswaga
@thobiac :
Mim ndo huyoo police jamii ama Jeshi la akiba😁😁😁
2026-10-01 14:24:24
6
anafi_7164
Anafi :
Mzee yupo kifua game 😂😂 Ila mgambo
2026-10-01 08:20:55
6
rrocxie
R.rocxie :
Baba😭😭😭😭???
2026-10-01 15:39:49
2
winnifridajoseph9090
beautifugirl💓boys💙💔🙏 :
ila wasukuma 🤣🤣🤣jaman ningumu kuwatetea
2026-10-01 15:03:01
9
itsthatsalmah
itsthatsalma :
Hii nchi Kuna sehemu imetoboka wallah😂😂😂😂😂😂
2026-10-01 09:43:33
5
tknhqfs7p7ik84
user2456127471238 :
Ila YANGA mnamambo nyie 😂😂😂😂
2026-10-01 20:54:51
0
user6358171703059
chrisroy :
hapana ongezaa😂😂😂😂
2026-10-01 15:18:08
3
user4194416082661
Irene :
Hali ni mbaayaa
2026-10-01 14:45:45
3
taiba.ally
TAEVA SHOES 👣👠👡🛍 :
tukafika hapa kukashindwana bei
2026-10-01 12:41:47
0
elkaalbeth
Ms El🧚‍♀️ :
wahenga siku hizi wamekua wa hovyo sana😂😂🙌
2026-10-01 17:25:43
2
manka6168
manka🙈 :
Ety tukashindwana bei 😂😂🙌🏻
2026-10-01 14:11:10
3
To see more videos from user @budastan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About